matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
Alafu pia uache kutengeneza uongo mamake AY alishafariki.
Huko moro lada aliishi baada ya kuachika na mumewe.
Na baada ya kuhama Mtwara waluhamia Dodoma ndipo alipokulia na kusoma huko Mazengo sec na wakati anaishi Dom walikuwa family friend na majirani na akina Uwoya.. thats y ni marafiki na uwoya tangu utotoni ingawa hawapendi kujishowoff.
Wewe unaongea nini sijui..Mimi nimemfahamu AY Moro,anakuja kuchana Rock garden kwny bash za kishule shule anatokea kwao kwa mazaake maisha ya kawaida sana sio ya kishua,sometimes alikuwa anakuja hostel..Sijapata taharifa kama mamake alifariki maana wakati ninaouingelea hapa wewe ulikuwa kindergarten..Tatizo mnaskliza maelezo ya kwenye magazeti mnadhani ndio wanasemaga kila kitu.