Wafahamu Celebrities waliotoka familia bora


Wewe unaongea nini sijui..Mimi nimemfahamu AY Moro,anakuja kuchana Rock garden kwny bash za kishule shule anatokea kwao kwa mazaake maisha ya kawaida sana sio ya kishua,sometimes alikuwa anakuja hostel..Sijapata taharifa kama mamake alifariki maana wakati ninaouingelea hapa wewe ulikuwa kindergarten..Tatizo mnaskliza maelezo ya kwenye magazeti mnadhani ndio wanasemaga kila kitu.
 
Acha kutengeneza uongo...Gk anakaa upanga ila sio wa kishua,mamake ni mwalimu...AY ndio choka vibaya mamake yupo Rockgarden Morogoro,sidhani kama ata alishawahi kumuona babake,babake alimkataa.

nyoosha maelezo ay choka vibaya kivipi? wewe unampata kwa lolote ay?

Hapa tunazungumzia family za awa watu,wewe unaleta stress zako za kudodewa na tigo yako weekend hii....unataka kunishindanisha? acha kbs hii number


naicha hii namba siiwezi, mimi si mvuta bangi.

wewe ni loser.

wewe ni winner.

Alimkataa baada ya kuzaliwa ama? Maana AY kazaliwa Ligula hospitali Mtwara na wakati amezaliwa na kuishi kule akiwa mchanga marehem babake alikuwa akifanya kazi Ofisi ya Mkoa a.k.a Mkoani kule Mtwara


Poa tusibishane basi.


habishani bali anakuelimisha uache uongo.

we tatizo lako utaki kukubali kuwa nimekuzidi akili na kila kitu..Na ntakusumbua sana akili kipapa wewe

Samahani mleta uzi kama takukwaza kwa hili!! Ila kwa mtiririko wa maelezo hapo juu haihitaji uwe na elimu ya darasa la Saba' hata chekechea anaejua kusoma anaweza kujua yupi anakimbia na mambo na yupi anafaham anachokisema. Pia yupi anatumia akili na yupi anatumia bange' nihayo tu!
 
we tatizo lako utaki kukubali kuwa nimekuzidi akili na kila kitu..Na ntakusumbua sana akili kipapa wewe

ni kweli umenizidi akili na kila kitu, ila ujuwe mama yako ana kipapa kama unadhani hii ndio akili.
 

Acha uongo ww, mama'ke GK Mama Kaihula alikua lectuler cbe na sio sekondary kama unavodai

Kayaman mamake GK alifundisha Tambaza sekondari A level somo la GS miaka ya 2000's

Nakubaliana na wewe....alinifundisha General studies,Tambaza


Alikuwa ni lecturer akifundisha business language pale CBE! Huko tambaza labda ilikuwa ni part time!

Naona wote mpo sahihi' sasa sijui ubishani wanini? Kwani mtu akiwa Mwalim wa secondary huo ndio unakuwa mwisho wa mipango yake?

Kama jibu sio' basi huyo mtajwa alijiendeleza kimasomo na kwasasa yupo hapo alipofikia! Hayo mengine ilikuwa ni safari ya maisha tu. over!
 
hakuna jimbo linaitwa dallas. huo ni mji huko texas
 
Ay amesoma Ifunda Tech sec School na Snare Dataz na buff G
 

Mbona unajikanyaga sasa we si unasema mama yupo moro unamjua wakati alishafariki muda tu.. nawe uache maisha ya kuhadithiwa eti hamjui dingi ake kamkataa wakati kawai ishi na mshua wake pia ila akafariki.. na kwao hayuko peke ake ana dada zake pia. hayo maisha uyaseme baada ya mshua wake kudanja ndo mamake katangatanga uko moro tena ukubwani maana utotoni na ujana kakulia mtwara na dom..
 
Ay amesoma Ifunda Tech sec School na Snare Dataz na buff G

Elimu ya secondary kwa tanzania kuna olevel na alevel naye kasoma vidato vyote hivyo so jua pia kasoma na Mazengo Sec Kule Dom.
 
Okay, I see...

So where are they right now? Wameweza ku-maintain the Masaki level au ndio zile za "Usinione nimechoka, nilikulia Masaki"...

He who laughs last laughs longer
 

Mie nimekwambia mama yake yupo Moro ndio,sina taharifa kuwa amefariki ndio unaniambia wewe..Sasa we umekazana yupo mtwara sijui dom..na nimekwambia dingi yake alimtosa tena akiwa mdogo mie siongei habari za kusikia kwenye media bahati nzuri..Sasa km utaki silazimishi mie uwa nasema mnabisha baadae mkiuona ukweli hamrudi kuconfess
 

hivi wewe ni nani mpaka uwe na taarifa za waliofariki? wewe ni rita?
 
Kwani we ni celeb au celeb wa humu jf... ndugu mbona unatuchanganyia mafile soma tittle vizuri.kuna aliye kuambia we ni maskini?

Nimekujibu kutokana na majibu yako,,utajiri wa ukubwani sijui mikopo ya faidika yamekujaje? Msikariri mkitoka mikoani huko kuwa ukisoma English medium au kukaa majumbani ya msajili ndio wakishua!
 

Nawewe unaejua taarifa za watu binafsi bila magazeti ndo ujue kama umemjulia moro wapo walionjua tangu akizaliwa na kuishi hiyo mikoa tajwa hapo juu.
 


Ni kweli AY kazaliwa Mtwara but amesoma Ifunda Tech O level na sio Mazengo na ni kweli kabla ya kufariki mama yake alikuwa anaishi Morogoro.Nafikiri hata mdogo wake AY (dada yake ) atakuwa bado anaishi Morogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…