Wafahamu "Economic Hitmen" na jinsi wanavyoharibu Uchumi wa nchi

Mmojawapo ni Tony Blair, tulimuona akiingia hadi vyumbani hapa nyumbani kwetu!
 
OKTOBA TUNA ✔️
 
Mkuu uko sahihi kabisa. Uthibitisho na ufafanuzi zaidi vinapatikana kwenye kitabu cha John Perkins, “The Confession of an Economic Hitman”
Hiki kitabu inabidi kiwe mandatory kwa policy makers, TISS, watu wa mipango, uchumi & fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…