Nusratt
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 1,712
- 4,259
- Thread starter
- #201
Ndio.Kwa definition hii uliyo iandika.
"........Ukahaba ni aina ya kazi ya ngono inayohusisha kushiriki ngono ili kupata malipo........"
Basi walio wanawake wengi ni makahaba,japo wengi wanafanya indirect na hawakai barabarani.
Wanawake wengi sana wanafanya hii biashara, tofauti ni maeneo na aina ya ufanyaji kazi