Ndio.Kwa definition hii uliyo iandika.
"........Ukahaba ni aina ya kazi ya ngono inayohusisha kushiriki ngono ili kupata malipo........"
Basi walio wanawake wengi ni makahaba,japo wengi wanafanya indirect na hawakai barabarani.
Eti sio mshirika wa biashara hiyo
Ni kweli, na malipo huwa kwa jina lolote lile kama;Kwa definition hii uliyo iandika.
"........Ukahaba ni aina ya kazi ya ngono inayohusisha kushiriki ngono ili kupata malipo........"
Basi walio wanawake wengi ni makahaba,japo wengi wanafanya indirect na hawakai barabarani.
Kabisa kakaWadada wengi sana ambao hawasimami barabarani kujiuza wapo kwenye hii category hii, wadada wengi tunaoona hawajiuzi barabarani, hawana tofauti na wale wanaojiuza barabarani
Kuna wadada wasiovutiwa kimapenzi na waume zao, ila wameolewa sababu ya hela za hao wanaume, huko nako ni kujiuza.
wadada wanaotaka kuingia kwenye mahusiano ili walipiwe Kodi, vicoba, wahongwe ilhali hawana hisia na mwanaume anaewapa hela, nao wanajiuza.
Hatari sana Nusratt
Shoti ziko kwenye ndoa mkuuuukuna jamaa kaleta uzi hapa hizo K zina umeme wa kufa mtu nafikiri ndo maana wanaume wengi wanaondoka mapema duniani kwa kupigwa na shoti ya gridi tofauti tofauti
Ulihakikisha kuwa kweli anafanya kazi kcb bank, au alikwambia ivyo ili ajipandishe dau, umuone wa thamani PdidyWale nawapendaga sana kuna MMOJA nilimbeba akaniambia anafanya kbc bank pale posta
Huyoo kilema WA mapenziiiUnakuta mtu kagombana na mke wake nyumbani eti anaenda kutoa stress kwa dadapoa, anaishia kuangukia pua
Nusratt na LOTH HEMAHao madadapoa huwa nawatokea kwa pozi tofauti nione wanavyonigombania. Kuna wakati nawatokea na baiskeli kama ya wauza madafu na mkoti wa kizee, kuna wakati nawatokea kama mwanafunzi wa chuo, nabadili pozi kila nikiwatokea wao wanachotaka ni hela tu
Mkuu nijihakikishie wapi m nikichokuwa nataka mbunyeUlihakikisha kuwa kweli anafanya kazi kcb bank, au alikwambia ivyo ili ajipandishe dau, umuone wa thamani Pdidy
Paja sio shida kuna matundu kule ndan kama UMELEwa mkuu unakojoa....xyz .sio penyewe ask themNusratt na LOTH HEMA
Kuna sehemu mesema watu wengi hawaingizi wanaishia kubaniwa mapajani. Mnamaanisha mhusika hawezi kujua kama anasugua paja au mkono? Mbona kuna tofauti kubwa sana kati ya paja na k, tena kwa hiyo dog style mbona kama ni ngumu sana kutogundua, nisaidieni hapo.
Labda kama mhusika amelewa sana.
Duuuh pole, kweli dunia ni uwanja wa fujo.Asante.
Changamoto mbili kubwa nilizowahi kukutana nazo kipindi nafanya biashara hizi.
1. Mnapatana bei ya mtu mmoja, na anakuchukua mpaka kwake au lodge ila matokeo yake kumbe ana kundi la watu kawaandaa na kuishia kuingiliwa mbele na nyuma bila ridhaa na watu wengi na mbaya zaidi wengine si watumiaji wa mpira wa kiume
2. Kufanyishwa ngono na wanyama.