Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Habari za jioni wapendwa wana Jf (JamiiAfrica )
Natumaini mko salama na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku.

Lengo la kuleta uzi huu usiku huu ni kuona kwa namna gani hii biashara ya ukahaba ilivyo enea na jinsi inavyofanyika.

Hii biashara nina uzoefu nayo kwa muda wa miaka 15.
Najua A to Z kuhusu hii kazi.
Na kama kuna kitu nitakuwa nimekiruka katika simulizi hii, basi ni ruksa kuongezea.

Ukahaba ni nini?
Ukahaba ni aina ya kazi ya ngono inayohusisha kushiriki ngono ili kupata malipo.

Kahaba ni nani?
Kahaba ni mtendaji ngono anayepokea malipo baada ya tendo.

Sasa basi, tumeshaona na kufahamu maana ya ukahaba na kahaba.

Tuje kwenye mada husika.
Wapo watoa huduma wengi wa ngono katika hii dunia.
Kuanzia watoto, rika maalum, vijana, watu wazima mpaka wazee na wote hawa hutoa huduma kulingana na mapatano yao.

Wapo wanaotoa huduma ya ngono kwa lengo la kupata pesa, mitaji, nyumba, gari, biashara, nguo, viatu, lifti, vyakula n.k

Na katika makundi haya ya watoa huduma wapo pia aina mbali mbali za watoa huduma.
Kuna wamama wa nyumbani, wafanyakazi wa maofisini, walimu, wanafunzi, wafanyabiashara n.k wote hao hutoa hii huduma kulingana na mazingira aliyopo.

Leo nitazungumzia kundi moja tu la watoa huduma hii ya ngono, wenyewe wanajiita "watu wa road" au kiufupi wale wanaosimama barabarani katika kujiuza.

Kundi hili la wanaosimama barabarani kwanza jamii nyingi inaona ni kama vile wamepinda na maisha au tuseme ni kama wametoa maisha yao kwa lolote litakalokuja mbele yao.

Imagine umesimama road na anakuja mteja mwenye gari unaongea nae bei kisha unaondoka nae, humjui huyo mteja na wala hujui kama ni mwema au lah!

Kisha mnamaliza mambo yenu huko na unarudi salama 'kijiweni', ni Mungu tu anakulinda.

Zipo kesi nyingi sana za wadada wa road kupotea au kuuliwa na wateja wao huko walikopelekwa.
Na pia wapo wadada waliowaua wateja wao hukohuko walikopelekwa na wateja wao.
Kwahiyo hapa ni kama wanaviziana.

Siri ya "wadada wa road"
Wadada wengi wa road ni lazima wawe wavutaji wakubwa wa sigara au bangi. Piga ua ukikuta mdada wa road havuti sigara huyo bado mgeni.

Unywaji wa pombe pia ni kipaumbele cha wadada wengi wa road bila kusahau pombe kali.

Wanawake wa road ndio kundi la madadapoa linaloongoza kwa kurogana, hii hutokana na kurundikana sehemu moja hivo ni lazima 'uoge' ili uvutie wateja.

Pia ndio kundi linaloongoza kwa kuwaibia wateja wao.
Piga ua galagaza, ukienda kwa wadada wa road jipange kisawasawa.
Nenda na pesa kamilli ya huduma.
Ni lazima ulizwe vibaya mno.

Pia usisahau ndilo kundi la madadapoa linaloongoza kwa kuwa na maambukizi ya Ukimwi na magonjwa hatari ya ngono kutokana na aidha kupasuka kwa condom wakati wa tendo au kufanya ngono peku kwa ahadi ya kuongezewa pesa zaidi

Ndio kundi linaloongoza kwa kufanya ngono za bei rahisi.
Si ajabu kukuta mdada hajapata hata pesa ya nauli tangu kaingia road usiku, hvo akija wa alfajiri wa 2000 au 1500 hawezi kataa.

Pia kundi hili ndilo huongoza kwa uchafuzi wa mazingira kwa kusambaza hovyo mipira ya kiume iliyotumika mitaani. Kwani hawana sehemu ya kufanyia kazi popote pale hupatana na kuingia kazini na wakimaliza huacha uchafu wao hapo

Pia vilevile usisahau ndio kundi linaloongoza kwa kulea ving'asti hasa bodaboda ili kupata unafuu wa usafiri pale wanapokuja kukimbizwa aidha na askari au mgambo usiku.

Ndio kundi linaloongoza kwa kuvaa nusu utupu.
Nadhani mshawahi jionea.

Pia vilevile majimaji ya kiume (shahawa) huuzwa kwa wahitaji kwa ajili ya mambo yao ya ushirikina.
Baada ya tendo, mipira ya kiume yenye manii ni biashara nzuri sana.
Siku hz wanaume wengi huomba kuondoka na mipira yao baada ya tendo.

Ni nadra sana kwa dada wa road kwenda site yake ya kazi bila silaha mkobani au kwenye maziwa.
Visu vidogo, nyembe, bisibisi au hata unga wa pilipili hutumika sana kama silaha pale anapotokea mteja mkorofi au mteja mwizi.

Pia usisahau kundi hili la road ndilo huongoza kwa kutembea na madawa ya usingizi.
Naweza paka mgongoni ukiniinamia tu, umeisha.
Hii ndio ipo kwa sasa.

Ngoja niwape siri, usidhani wale wanaume woote tunafanya nao ngono hapana.
Wengi huishia kumwaga kwenye mapaja au mkononi.

La mwisho, pia ndio kundi la dadapoa ambao wengi wapo 'kazini'
Nadhani umenielewa ninaposema kazini.
Usidhani wale wengi ni dada poa bali wengine huja kwa 'msimu' na kuondoka baada ya kumaliza jambo lao.

Ila la mwisho kabisa, hii biashara ya ukahaba ipo tangu karne na karne.
Na iko chini ya milki za watu na maisha yao.
Kuizua ni ngumu sana.
Cha umuhimu ni kutulia na ndoa yako.

Ukimwi upo na Unaua.

Niliposahau mnikumbushe.

Wabillahi Tawfiq
Alamsiki.
katika uzoefu wako wa miaka 15 ya kuwa kama kahaba mbobezi, je hujawahi kutoa ndogo( Opera mini/Oman)
 
Nina swali, kama tunavojua kabla ya sex dada poa wengi hua wanajipaka mafuta ukeni ili wasichubuke, ila kuna aina ingine ya dada poa nkiingia nao room hawajipaki mafuta ukeni, nkiingiza dushe uke unakua kawaida, ila napoanza ku-pump nahisi kabisa utelezi unaongezeka kwenye uke, sasa najiuliza ina maana uke wao unatoa ule ute kwa kila mteja, au inategemea na mteja, au kunakua na factors gani hapo 🤔 Nusratt
Naona ni kila mtu na maumbile yake.
Mimi napaka mafuta lakini bado natoa na ute ute 🤭
Ila kama unahisi uteute na huku amezima taa, shtuka huenda yuko kwenye hedhi.
Hedhi huwa ina tabia hiyo
 
Hii kazi hata wao inawachosha na ndio maana huwaga inafika kipindi wanatamani kuolewa. Nina mwanangu mmoja dereva wa bodaboda anawabeba sana,anadai kuna wengine wanatamani ndoa na jamaa nae huwaga anawanyoosha wateja wake.
 
Kawe kuna vitoto vidogooo unawapa bk Tano wanakupeleka CHOCHO mlinzi unampanbk 2 wnaabaki na tatu na n dk kumi ole wakoo naniiyakoo iwe inasubiria gitaaa utaisoma namba na wanaopokea kwanza kabla ya LOLOTE hakikisha MASHINE ishanyanyuka ysiliwe helà yakooo njia ya KWENDA sokoni saatatu mashallah
Hao vibaka hata kuwasogelea siwezi, kwanza vitoto havijuagi mavituz, chagua pisi yenye walau 23+
 
Ndio maana nimesema hili ndilo kundi la mwisho katika list ya makundi ya dadapoa.
Wanapata pesa, japo ndio hvo ya kuvuta nikuvute
Kwanini sasa hawapandi grade toka huko kua kundi la 10 walau hata wafike 8 au la 7 huko na sio huko kukaa road na kuvuta bangi na fegi hovyo.
 
Hivi kuna watu wanapiga bao mbili au zaidi kwa Dada poa?

Je dada poa nae anaenjoy sex?

Ipi ni njia salama ya kusex na dada poa usipte maambukizi mfano uti n.k
 
Kwanini sasa hawapandi grade toka huko kua kundi la 10 walau hata wafike 8 au la 7 huko na sio huko kukaa road na kuvuta bangi na fegi hovyo.
Swali zuri Vishu Mtata
Hawapandi grade kutokana na wao wenyewe walivyojiwekea mazingira yao.
Madada wa road muda wote wako attention kwa wizi au tukio lolote.
Na pia grade hizi zimepangwa automatically na umoja wa madadapoa Tz.
Dadapoa wa road hata umpeleke hotel ya nyota 5, kama ataamua kuanzisha vagi ni lazima ataanzisha tu.
 
Pole yao, ila yale maisha ya hao wa road kubadilika ni kipengele, mtu ni mwizi, mlevi, mvuta bangi & sigara, mshari mwenye hasira za karibu na asie na huruma
 
Habari za jioni wapendwa wana Jf (JamiiAfrica )
Natumaini mko salama na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku.

Lengo la kuleta uzi huu usiku huu ni kuona kwa namna gani hii biashara ya ukahaba ilivyo enea na jinsi inavyofanyika.

Hii biashara nina uzoefu nayo kwa muda wa miaka 15.
Najua A to Z kuhusu hii kazi.
Na kama kuna kitu nitakuwa nimekiruka katika simulizi hii, basi ni ruksa kuongezea.

Ukahaba ni nini?
Ukahaba ni aina ya kazi ya ngono inayohusisha kushiriki ngono ili kupata malipo.

Kahaba ni nani?
Kahaba ni mtendaji ngono anayepokea malipo baada ya tendo.

Sasa basi, tumeshaona na kufahamu maana ya ukahaba na kahaba.

Tuje kwenye mada husika.
Wapo watoa huduma wengi wa ngono katika hii dunia.
Kuanzia watoto, rika maalum, vijana, watu wazima mpaka wazee na wote hawa hutoa huduma kulingana na mapatano yao.

Wapo wanaotoa huduma ya ngono kwa lengo la kupata pesa, mitaji, nyumba, gari, biashara, nguo, viatu, lifti, vyakula n.k

Na katika makundi haya ya watoa huduma wapo pia aina mbali mbali za watoa huduma.
Kuna wamama wa nyumbani, wafanyakazi wa maofisini, walimu, wanafunzi, wafanyabiashara n.k wote hao hutoa hii huduma kulingana na mazingira aliyopo.

Leo nitazungumzia kundi moja tu la watoa huduma hii ya ngono, wenyewe wanajiita "watu wa road" au kiufupi wale wanaosimama barabarani katika kujiuza.

Kundi hili la wanaosimama barabarani kwanza jamii nyingi inaona ni kama vile wamepinda na maisha au tuseme ni kama wametoa maisha yao kwa lolote litakalokuja mbele yao.

Imagine umesimama road na anakuja mteja mwenye gari unaongea nae bei kisha unaondoka nae, humjui huyo mteja na wala hujui kama ni mwema au lah!

Kisha mnamaliza mambo yenu huko na unarudi salama 'kijiweni', ni Mungu tu anakulinda.

Zipo kesi nyingi sana za wadada wa road kupotea au kuuliwa na wateja wao huko walikopelekwa.
Na pia wapo wadada waliowaua wateja wao hukohuko walikopelekwa na wateja wao.
Kwahiyo hapa ni kama wanaviziana.

Siri ya "wadada wa road"
Wadada wengi wa road ni lazima wawe wavutaji wakubwa wa sigara au bangi. Piga ua ukikuta mdada wa road havuti sigara huyo bado mgeni.

Unywaji wa pombe pia ni kipaumbele cha wadada wengi wa road bila kusahau pombe kali.

Wanawake wa road ndio kundi la madadapoa linaloongoza kwa kurogana, hii hutokana na kurundikana sehemu moja hivo ni lazima 'uoge' ili uvutie wateja.

Pia ndio kundi linaloongoza kwa kuwaibia wateja wao.
Piga ua galagaza, ukienda kwa wadada wa road jipange kisawasawa.
Nenda na pesa kamilli ya huduma.
Ni lazima ulizwe vibaya mno.

Pia usisahau ndilo kundi la madadapoa linaloongoza kwa kuwa na maambukizi ya Ukimwi na magonjwa hatari ya ngono kutokana na aidha kupasuka kwa condom wakati wa tendo au kufanya ngono peku kwa ahadi ya kuongezewa pesa zaidi

Ndio kundi linaloongoza kwa kufanya ngono za bei rahisi.
Si ajabu kukuta mdada hajapata hata pesa ya nauli tangu kaingia road usiku, hvo akija wa alfajiri wa 2000 au 1500 hawezi kataa.

Pia kundi hili ndilo huongoza kwa uchafuzi wa mazingira kwa kusambaza hovyo mipira ya kiume iliyotumika mitaani. Kwani hawana sehemu ya kufanyia kazi popote pale hupatana na kuingia kazini na wakimaliza huacha uchafu wao hapo

Pia vilevile usisahau ndio kundi linaloongoza kwa kulea ving'asti hasa bodaboda ili kupata unafuu wa usafiri pale wanapokuja kukimbizwa aidha na askari au mgambo usiku.

Ndio kundi linaloongoza kwa kuvaa nusu utupu.
Nadhani mshawahi jionea.

Pia vilevile majimaji ya kiume (shahawa) huuzwa kwa wahitaji kwa ajili ya mambo yao ya ushirikina.
Baada ya tendo, mipira ya kiume yenye manii ni biashara nzuri sana.
Siku hz wanaume wengi huomba kuondoka na mipira yao baada ya tendo.

Ni nadra sana kwa dada wa road kwenda site yake ya kazi bila silaha mkobani au kwenye maziwa.
Visu vidogo, nyembe, bisibisi au hata unga wa pilipili hutumika sana kama silaha pale anapotokea mteja mkorofi au mteja mwizi.

Pia usisahau kundi hili la road ndilo huongoza kwa kutembea na madawa ya usingizi.
Naweza paka mgongoni ukiniinamia tu, umeisha.
Hii ndio ipo kwa sasa.

Ngoja niwape siri, usidhani wale wanaume woote tunafanya nao ngono hapana.
Wengi huishia kumwaga kwenye mapaja au mkononi.

La mwisho, pia ndio kundi la dadapoa ambao wengi wapo 'kazini'
Nadhani umenielewa ninaposema kazini.
Usidhani wale wengi ni dada poa bali wengine huja kwa 'msimu' na kuondoka baada ya kumaliza jambo lao.

Ila la mwisho kabisa, hii biashara ya ukahaba ipo tangu karne na karne.
Na iko chini ya milki za watu na maisha yao.
Kuizua ni ngumu sana.
Cha umuhimu ni kutulia na ndoa yako.

Ukimwi upo na Unaua.

Niliposahau mnikumbushe.

Wabillahi Tawfiq
Alamsiki.
Ndilo linaloongoza kwa mapenzi kinyume na maumbile hali inayopelekea kuwa hatarini zaidi kupata magonjwa ya zinaa
 
Ni hv.
Unaweza jikuta mko 20 kwenye kazi, ila kuna matukio yanatokea na ghafla mnashangaa kesho yake mnaongezeka kuwa 22, jua hao 2 wamekuja lkwa ajili ya kukusanya info fulani.
Hii ipo sana Dodoma, Singida na Arusha na kidogo DSM
Unakutana na dadapoa ambae amesoma na yuko full "details"
Hapo lazima 'warning sign' ilie.
Na akishapata anachotaka mnashangaa tu hawapo.
Hii mimi ni shahidi
Hiyo wewe ni shahidi...unamaanisha kijiweni kwako huwa wanakuja hao madada poa walio "kazini"?
 
Swali zuri sana.

Madada poa huwa tuna feel sex na kuenjoy kabisa.
Ila sasa inategemea na aina ya makubaliano.
Mfano, umekuja kistaarabu na umetoa pesa yako kihalali, why nisitimize majukumu yangu kama mtoa huduma?
Inafika hatua tunakojoa kabisa na huwa tunakuwa na wateja wetu ambao wao hupenda kuhudumiwa na dada mmoja tu kila akija.

Mazoea hayo hatimaye hujenga penzi na kumpa kama mume au mtu special
Una kitu.
 
Back
Top Bottom