Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Kwahiyo ulimkaza na ukamuibia 87k zake!? Duuh
 
Hivi kuna watu wanapiga bao mbili au zaidi kwa Dada poa?

Je dada poa nae anaenjoy sex?

Ipi ni njia salama ya kusex na dada poa usipte maambukizi mfano uti n.k
Wanapiga sana tu.
Na sio kupiga bao mbili tu, wateja wengi hulala na dada poa mpaka asubuhi na wengine huenda makazini na kuwaacha dadapoa nyumbani kwao wakiendelea na kazi za hapa na pale na wakirudi huweza kukaa hata siku 3 akienjoy penzi la kahaba.

Wanaenjoy.
Tunapata raha na sisi pia na tunafurahia vilevile

Yaani hapo njia salama kubwa ya kutopata maambukizi kutoka kwa dada poa ni kufanya ngono salama na kutumia mpira.
Tumia mpira na usithubutu kumnyonya kahaba eneo lolote katika mwili wake, hii ni hatari kubwa sana katika duru zako za kuopoa malaya 👙
 
watu wa muhimu sana hawa kwa taarifa yako!
 
Pole yao, ila yale maisha ya hao wa road kubadilika ni kipengele, mtu ni mwizi, mlevi, mvuta bangi & sigara, mshari mwenye hasira za karibu na asie na huruma
Ila kitu kimoja mkumbuke, anabadilika akiamua.
Ila asipoamua kubadilika, basi huwa mnyama zaidi.

Kupewa dili za hatari ni jambo la kawaida.
Kuna binti mmoja alishawahi kupewa kilos za heroine atoe Mori kupeleka Ubungo.
Alikuja dereva wa boda kijiweni anatafuta mwanamke ametumwa na boss wake aliyeko lodge Ubungo.
Demu kakalia chombo kapewa na mfuko una chakula kumbe ndani kuna unga pia.
Cha kushukuru alifika salama, japo alifahamu baada ya kufika na alipewa pesa tu na kurudi bila kufanya lolote.
 
Nahapo ndio munapo toa magojwa yenu au kupata magonjwa
 
Hiyo wewe ni shahidi...unamaanisha kijiweni kwako huwa wanakuja hao madada poa walio "kazini"?
Wanakuja kabla na baada.
Na mara nyingi intake mpya za upolisi zikianza kuajiriwa ni lazima vijiwe vichangamke.
Huja madadapoa wa 'kazi' kwa ajili ya kunasa janjajanja za kazi zao
 
Mie kwangu naona wote wanaingia kwenye maana moja, ila sasa kuna kautofauti kembamba sana kamewatenganisha kati ya kahaba na malaya.
Ila bado siamini kama wewe uliwahi kufanya kazi kama hizi.Nasema hivi kwasababu ya uandishi wako, watu wanaofanya kazi kama hizi wanaweza kuandaa nyuzi JF kweli 🤔,tu-assume labda wameweza, wanaweza kutulia na kupangilia aya na kuzingatia alama za uandishi mzuri kiasi hiki ?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…