Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Kuna moja umeisahau Kuna mzee moja anawasaidiaga nyapu zenu zisipaukesana yule mzee wa bagamoyo hasa wale wa kwenye madanguro walikua kalibia weekend zote huenda bagamoyo.na mzee alipatamtajimkubwasana kupitia hawa watu,😁😁😄🔥Nayule mzee moja hua ananunua manii kwaajili ya ulozi nakufanya nyota ya changu ing'are
Hiko kipengele sijakisahau, kinaingia hapa 👇
Wanawake wa road ndio kundi la madadapoa linaloongoza kwa kurogana, hii hutokana na kurundikana sehemu moja hivo ni lazima 'uroge' ili uvutie wateja.
 
Dhamira ya kukanyaga manii huwa ni nini haswa?
Swali zuri.
Huwa tunakanyaga manii kwa minajili ya kutakasa nyayo zetu kwa kazi hiyo tu.
Ipo dhana kuwa unapokanyaga manii, basi mwili wako hutambua kuwa uko tayari kwa ajili ya kiumbe chochote kinachotoa hayo maji.
Hivyo mwanaume hawezi kukupita bila kukuona.
 
Kiufupi, mnakanya kwa ajili ya kuongeza mvuto.

Je ni madhara gani yatayompata huyo mwanaume aliyekanyagiwa manii yake katika ulimwengu wa kiroho?
 
Ni hv.
Unaweza jikuta mko 20 kwenye kazi, ila kuna matukio yanatokea na ghafla mnashangaa kesho yake mnaongezeka kuwa 22, jua hao 2 wamekuja lkwa ajili ya kukusanya info fulani.
Hii ipo sana Dodoma, Singida na Arusha na kidogo DSM
Unakutana na dadapoa ambae amesoma na yuko full "details"
Hapo lazima 'warning sign' ilie.
Na akishapata anachotaka mnashangaa tu hawapo.
Hii mimi ni shahidi
Wewe ni shahidi ama wewe ni mmoja wa hao? You sound more educated than a common street hooker.
 
Kiufupi, mnakanya kwa ajili ya kuongeza mvuto.

Je ni madhara gani yatayompata huyo mwanaume aliyekanyagiwa manii yake katika ulimwengu wa kiroho?
Oh, kiukweli zaidi ya kuendelea kukutafuta nadhani hakuna la ziada
 
Back
Top Bottom