Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Hiko kipengele sijakisahau, kinaingia hapa 👇
Wanawake wa road ndio kundi la madadapoa linaloongoza kwa kurogana, hii hutokana na kurundikana sehemu moja hivo ni lazima 'uroge' ili uvutie wateja.
 
Dhamira ya kukanyaga manii huwa ni nini haswa?
Swali zuri.
Huwa tunakanyaga manii kwa minajili ya kutakasa nyayo zetu kwa kazi hiyo tu.
Ipo dhana kuwa unapokanyaga manii, basi mwili wako hutambua kuwa uko tayari kwa ajili ya kiumbe chochote kinachotoa hayo maji.
Hivyo mwanaume hawezi kukupita bila kukuona.
 
Kiufupi, mnakanya kwa ajili ya kuongeza mvuto.

Je ni madhara gani yatayompata huyo mwanaume aliyekanyagiwa manii yake katika ulimwengu wa kiroho?
 
Wewe ni shahidi ama wewe ni mmoja wa hao? You sound more educated than a common street hooker.
 
Kiufupi, mnakanya kwa ajili ya kuongeza mvuto.

Je ni madhara gani yatayompata huyo mwanaume aliyekanyagiwa manii yake katika ulimwengu wa kiroho?
Oh, kiukweli zaidi ya kuendelea kukutafuta nadhani hakuna la ziada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…