Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Aisee MMU kama MMU hatarii, hiyo ya mapajani bado sijakuelewa madam yan kwambaa?? Mtu anahisi imo ndani inaishia mapajani had akojoe?? Mmh
 
Aisee MMU kama MMU hatarii, hiyo ya mapajani bado sijakuelewa madam yan kwambaa?? Mtu anahisi imo ndani inaishia mapajani had akojoe?? Mmh
Ndio na ndio ilivyo.
Labda unitoe hapo unipeleke sehemu ya kistaarabu kwa pesa nyingi zaidi ila kama ni hapohapo tu umenikuta basi usitegemee labda niamue tu.
 
Ndio na ndio ilivyo.
Labda unitoe hapo unipeleke sehemu ya kistaarabu kwa pesa nyingi zaidi ila kama ni hapohapo tu umenikuta basi usitegemee labda niamue tu.
Inakua kimazingara au ujanja tu mana kutokua ndan si mtu anahis kabisa ni utaalam gan? Au ndo ile wanasema unakuta unagonga fisi sio mtu
 
Ukahaba huwezi kustaafu ni unatulia.
Ukipata wa kuruka nae, mnarukiana.
Ila mtu anayeitwa malaya kuacha hii kazi milele ni ngumu mno!
Kwa hyo na wewe bado ujaacha mara moja moja una kula kichwa.
 
Dah asante Sana NUSRATT Kwa kutumia muda wako kutoa elimu ambayo adimu na yenye kusisimua naendelea kujifunza
 
Dah asante Sana NUSRATT Kwa kutumia muda wako kutoa elimu ambayo adimu na yenye kusisimua naendelea kujifunza
Asante sana.
Wala usijali. Niko kwa ajili yenu
 
Jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…