Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Karibu.
Hizo story zote nazifahamu.
Na kingine ni kwamba rika moja halikai na rika lingine kuepuka kuharibiana soko
duh! Unanishangaza kwa taarifa hizi, ni kweli uliyoyaandika nimejionea mwenyewe. Tena nilipanga kwenda kutembelea vijiwe vyote vya dadapoa kuna uchunguzi nafanya. Ni kweli hawachangamani, hawa wadogo ikitokea wamevamia chimbo la wakubwa hufukuzwa kama mbwa. Huwa nashangaa hiyo mishangazi ilivyovaa kikahaba maungo yote yako nje nje
 
Asante sana sana sana kaka.
Shukrani.

1. Huwa iko hv, wapo wanaokuja kwa misimu.
Aghalabu kuchunguza jambo fulani.
Mara nyingi kukitokea tukio fulani basi lazima mamluki wahusike ili kusaka taarifa.
Mamluki hao huwa wapo na hujifanya wenzetu kabisa.

2. Madanguro yanalipiwa.
Madanguro yanamilikiwa
Madanguro yana taratibu zake.
Ndio manaa ni ngumu sana msako wa madadapoa upite halafu Madanguro yote yakutwe na watu, never.
Kuna connection kubwa kati ya mmiliki wa danguro na baadhi ya polisi wasio waaminifu.
Madanguro yanamilikiwa na watu, na wanalipa kodi.

Yap, ofisini huko ndio balaa zaidi.
Pole sana
 
Kuna ukweli kuwa wakati mwingine au mara nyingi wanaume hufanyishwa ngono na wanyama kishirikina? Kwamba wewe unafikiri unamla kahaba kumbe yeye amekaa pembeni na unayemla pale ni mbwa au fisi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna ukweli kuwa wakati mwingine au mara nyingi wanaume hufanyishwa ngono na wanyama kishirikina? Kwamba wewe unafikiri unamla kahaba kumbe yeye amekaa pembeni na unayemla pale ni mbwa au fisi.
Hapana.
Ila siwezi jua maana kila mtu na kinga zake.
Ila ninachojua mimi ni kwamba unaweza kuingiliwa na mwanaume kumbe ana maruhani na hayapendi najisi, hapo lazima kiwake chumbani
 
Hapana.
Ila siwezi jua maana kila mtu na kinga zake.
Ila ninachojua mimi ni kwamba unaweza kuingiliwa na mwanaume kumbe ana maruhani na hayapendi najiso, hapo lazima kiwake chumbani
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…