Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Kufanya mapenzi kama huna mke na huna hela unaweza kukaa muda mrefu bila kujamiana. Kupata penzi siku hizi ni hela tu kila mahali. Mapenzi yenyewe yamejigredi, wengine ni ghali sana, kuna wa laki moja, elfu hamsini, elfu ishirini, elfu kumi, elfu tano, elfu mbili mpaka buku na jero utapata. Hawa wa jero utawapata kwenye vilabu vya pombe za kienyeji wengi wao ni wanywa gongo. Wala bata ndio ghali zaidi wapo mpaka wa milioni moja. Makundi ya makahaba ni mengi sana
 
duh! Unanishangaza kwa taarifa hizi, ni kweli uliyoyaandika nimejionea mwenyewe. Tena nilipanga kwenda kutembelea vijiwe vyote vya dadapoa kuna uchunguzi nafanya. Ni kweli hawachangamani, hawa wadogo ikitokea wamevamia chimbo la wakubwa hufukuzwa kama mbwa. Huwa nashangaa hiyo mishangazi ilivyovaa kikahaba maungo yote yako nje nje
Ndio iko hivo kabisa.
Huwa hakuna kuchangamana
 
Sio tangazo hili mjuvi wa mambo?
Au mtreeego😁
Hamna nusurat anaongelea kitu kilichomuumiza maishani mwake na nampenda anaongea ukweli na kujutia..!!
Zaidi anaonya jamii isijihusishe na vitendo hivyo…!!

Huu ni uzi wake wa pili km sikosei analalamika na kujutia, sema wanaume wa humu wanamkejeli mpk anawa-ignore 😹😹😹

Angekua anatafuta wanaume mbona mapema wangeshavujisha chats zake, sijui labda tusubiri mana JF haitunzi siri..!! 😹
 
Habari za jioni wapendwa wana Jf (JamiiAfrica )
Natumaini mko salama na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku.

Lengo la kuleta uzi huu usiku huu ni kuona kwa namna gani hii biashara ya ukahaba ilivyo enea na jinsi inavyofanyika.

Hii biashara nina uzoefu nayo kwa muda wa miaka 15.
Najua A to Z kuhusu hii kazi.
Na kama kuna kitu nitakuwa nimekiruka katika simulizi hii, basi ni ruksa kuongezea.

Ukahaba ni nini?
Ukahaba ni aina ya kazi ya ngono inayohusisha kushiriki ngono ili kupata malipo.

Kahaba ni nani?
Kahaba ni mtendaji ngono anayepokea malipo baada ya tendo.

Sasa basi, tumeshaona na kufahamu maana ya ukahaba na kahaba.

Tuje kwenye mada husika.
Wapo watoa huduma wengi wa ngono katika hii dunia.
Kuanzia watoto, rika maalum, vijana, watu wazima mpaka wazee na wote hawa hutoa huduma kulingana na mapatano yao.

Wapo wanaotoa huduma ya ngono kwa lengo la kupata pesa, mitaji, nyumba, gari, biashara, nguo, viatu, lifti, vyakula n.k

Na katika makundi haya ya watoa huduma wapo pia aina mbali mbali za watoa huduma.
Kuna wamama wa nyumbani, wafanyakazi wa maofisini, walimu, wanafunzi, wafanyabiashara n.k wote hao hutoa hii huduma kulingana na mazingira aliyopo.

Leo nitazungumzia kundi moja tu la watoa huduma hii ya ngono, wenyewe wanajiita "watu wa road" au kiufupi wale wanaosimama barabarani katika kujiuza.

Kundi hili la wanaosimama barabarani kwanza jamii nyingi inaona ni kama vile wamepinda na maisha au tuseme ni kama wametoa maisha yao kwa lolote litakalokuja mbele yao.

Imagine umesimama road na anakuja mteja mwenye gari unaongea nae bei kisha unaondoka nae, humjui huyo mteja na wala hujui kama ni mwema au lah!

Kisha mnamaliza mambo yenu huko na unarudi salama 'kijiweni', ni Mungu tu anakulinda.

Zipo kesi nyingi sana za wadada wa road kupotea au kuuliwa na wateja wao huko walikopelekwa.
Na pia wapo wadada waliowaua wateja wao hukohuko walikopelekwa na wateja wao.
Kwahiyo hapa ni kama wanaviziana.

Siri ya "wadada wa road"
Wadada wengi wa road ni lazima wawe wavutaji wakubwa wa sigara au bangi. Piga ua ukikuta mdada wa road havuti sigara huyo bado mgeni.

Unywaji wa pombe pia ni kipaumbele cha wadada wengi wa road bila kusahau pombe kali.

Wanawake wa road ndio kundi la madadapoa linaloongoza kwa kurogana, hii hutokana na kurundikana sehemu moja hivo ni lazima 'uoge' ili uvutie wateja.

Pia ndio kundi linaloongoza kwa kuwaibida wateja wao.
Piga ua galagaza, ukienda kwa wadada wa road jipange kisawasawa.
Nenda na pesa kamilli ya huduma.
Ni lazima ulizwe vibaya mno.

Pia usisahau ndilo kundi la madadapoa linaloongoza kwa kuwa na maambukizi ya Ukimwi na magonjwa hatari ya ngono kutokana na aidha kupasuka kwa condom wakati wa tendo au kufanya ngono peku kwa ahadi ya kuongezewa pesa zaidi

Ndio kundi linaloongoza kwa kufanya ngono za bei rahisi.
Si ajabu kukuta mdada hajapata hata pesa ya nauli tangu kaingia road usiku, hvo akija wa alfajiri wa 2000 au 1500 hawezi kataa.

Pia vilevile usisahau ndio kundi linaloongoza kwa kulea ving'asti hasa bodaboda ili kupata unafuu wa usafiri pale wanapokuja kukimbizwa aidha na askari au mgambo usiku.

Ndio kundi linaloongoza kwa kuvaa nusu utupu.
Nadhani mshawahi jionea.

Pia vilevile majimaji ya kiume (shahawa) huuzwa kwa wahitaji kwa ajili ya mambo yao ya ushirikina.
Baada ya tendo, mipira ya kiume yenye manii ni biashara nzuri sana.
Siku hz wanaume wengi huomba kuondoka na mipira yao baada ya tendo.

Ni nadra sana kwa dada wa road kwenda site yake ya kazi bila silaha mkobani au kwenye maziwa.
Visu vidogo, nyembe, bisibisi au hata unga wa pilipili hutumika sana kama silaha pale anapotokea mteja mkorofi au mteja mwizi.

Pia usisahau kundi hili la road ndilo huongoza kwa kutembea na madawa ya usingizi.
Naweza paka mgongoni ukiniinamia tu, umeisha.
Hii ndio ipo kwa sasa.

Ngoja niwape siri, usidhani wale wanaume woote tunafanya nao ngono hapana.
Wengi huishia kumwaga kwenye mapaja au mkononi.

La mwisho, pia ndio kundi la dadapoa ambao wengi wapo 'kazini'
Nadhani umenielewa ninaposema kazini.
Usidhani wale wengi ni dada poa bali wengine huja kwa 'msimu' na kuondoka baada ya kumaliza jambo lao.

Ila la mwisho kabisa, hii biashara ya ukahaba ipo tangu karne na karne.
Na iko chini ya milki za watu na maisha yao.
Kuizua ni ngumu sana.
Cha umuhimu ni kutulia na ndoa yako.

Ukimwi upo na Unaua.

Niliposahau mnikumbushe.

Wabillahi Tawfiq
Alamsiki.

Kama nimeku-ignore marufuku kuchagia uzi wangu
Huu uzi una elimu ambayo nadhani haijawahi letwa humu kama thread inayojitegemea.
@mods fanyeni mpango iwe STICKY tafadhari.
Paw
Active
 
Kabisa kabisa.
Na pia nyongeza katika hili, unaweza niona nimeshika chupa ya bia ukajua nakunywa bia kumbe sio.
Mengine ni siri kaka, nitashtakiwa
Zamani nilidhani wanaume wanaonunua dada poa wanaojiuza barabarani ni wanaume flani hivi maskini, wachafu wachafu, wenye sura mbaya waliochoka na maisha, aloo nlivoanza kutembelea sehemu wanakojiuza dada poa nlijionea mambo tofauti.

Unakuta wanaume ma-handsome, warefu, wapo smart kwenye mavazi wanaongozana kwenda kununua dada poa, wanaume wengine wenye magari yao, mameneja kabisa kwenye makampuni makubwa wananunua wadada wanaojiuza barabarani, nlishangaa kweli.. Nusratt
 
Hapana dear, take it easy. Toa Elimu watu wapate kufahamu hili suala kinaga ubaga.
Hongera kwa ujasiri wako, napenda watu wanao jiamini.
cocastic nilikuwa na uwezo wa kuandika uzi na kuuacha.
Ila nikaona ni sharw nanyi uzoefu kumbe naambiwa najitangaza?
Tena naambiwa na mtu ambae ananiuliza na ninamjibu kistaarabu?
 
Kufanya mapenzi kama huna mke na huna hela unaweza kukaa muda mrefu bila kujamiana. Kupata penzi siku hizi ni hela tu kila mahali. Mapenzi yenyewe yamejigredi, wengine ni ghali sana, kuna wa laki moja, elfu hamsini, elfu ishirini, elfu kumi, elfu tano, elfu mbili mpaka buku na jero utapata. Hawa wa jero utawapata kwenye vilabu vya pombe za kienyeji wengi wao ni wanywa gongo. Wala bata ndio ghali zaidi wapo mpaka wa milioni moja. Makundi ya makahaba ni mengi sana
Kabisa uongeacho ni kweli.
Makundi yapo ya aina nyingi sana.
 
Hamna nusurat anaongelea kitu kilichomuumiza maishani mwake na nampenda anaongea ukweli na kujutia..!!
Zaidi anaonya jamii isijihusishe na vitendo hivyo…!!

Huu ni uzi wake wa pili km sikosei analalamika na kujutia, sema wanaume wa humu wanamkejeli mpk anawa-ignore 😹😹😹

Angekua anatafuta wanaume mbona mapema wangeshavujisha chats zake, sijui labda tusubiri mana JF haitunzi siri..!! 😹
Ndio hivo.
Kila mtu na mtizamo wake.
Unadhani sipati Pm, nazipata sana ila nipo hapa kwa ajili ya kurekebisha na kuwa muwazi na kutoa madhara na ushauri
 
Kuna watu hutoka vijijini wamesikia mjini kuna wanawake wanaojiuza unawapata kiraisi tu. Watu hao huishia kuliwa hela zao bure na penzi murua hawapati. Wanabaniwa kwenye mapaja kwa nyuma, chini ya dakika tano huambiwa tayari hela yao imeisha kama wanataka tena waongeze dau. Hawa wadadapoa hupendelea staili ya kuinama mashine ije kwa nyuma halafu mtulinga wanaingiza wenyewe mapajani na kuubana unadhani ni yenyewe halafu unaambiwa katikia. Unakatikia kumbe unakatikia mapaja. Ni utapeli mtupu
 
Mh, Mkuu una avatar zinashawishi daah, btw tunashukuru kwa ujumbe kuna vya kujifunza
 
Kuna watu hutoka vijijini wamesikia mjini kuna wanawake wanaojiuza unawapata kiraisi tu. Watu hao huishia kuliwa hela zao bure na penzi murua hawapati. Wanabaniwa kwenye mapaja kwa nyuma, chini ya dakika tano huambiwa tayari hela yao imeisha kama wanataka tena waongeze dau. Hawa wadadapoa hupendelea staili ya kuinama mashine ije kwa nyuma halafu mtulinga wanaingiza wenyewe mapajani na kuubana unadhani ni yenyewe halafu unaambiwa katikia. Unakatikia kumbe unakatikia mapaja. Ni utapeli mtupu
Kwa hiyo, mapaja yana joto linalofanana na joto la mbususuni?
 
Back
Top Bottom