Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Kufanya mapenzi kama huna mke na huna hela unaweza kukaa muda mrefu bila kujamiana. Kupata penzi siku hizi ni hela tu kila mahali. Mapenzi yenyewe yamejigredi, wengine ni ghali sana, kuna wa laki moja, elfu hamsini, elfu ishirini, elfu kumi, elfu tano, elfu mbili mpaka buku na jero utapata. Hawa wa jero utawapata kwenye vilabu vya pombe za kienyeji wengi wao ni wanywa gongo. Wala bata ndio ghali zaidi wapo mpaka wa milioni moja. Makundi ya makahaba ni mengi sana
 
Ndio iko hivo kabisa.
Huwa hakuna kuchangamana
 
Sio tangazo hili mjuvi wa mambo?
Au mtreeego๐Ÿ˜
Hamna nusurat anaongelea kitu kilichomuumiza maishani mwake na nampenda anaongea ukweli na kujutia..!!
Zaidi anaonya jamii isijihusishe na vitendo hivyoโ€ฆ!!

Huu ni uzi wake wa pili km sikosei analalamika na kujutia, sema wanaume wa humu wanamkejeli mpk anawa-ignore ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Angekua anatafuta wanaume mbona mapema wangeshavujisha chats zake, sijui labda tusubiri mana JF haitunzi siri..!! ๐Ÿ˜น
 
Huu uzi una elimu ambayo nadhani haijawahi letwa humu kama thread inayojitegemea.
@mods fanyeni mpango iwe STICKY tafadhari.
Paw
Active
 
Kabisa kabisa.
Na pia nyongeza katika hili, unaweza niona nimeshika chupa ya bia ukajua nakunywa bia kumbe sio.
Mengine ni siri kaka, nitashtakiwa
Zamani nilidhani wanaume wanaonunua dada poa wanaojiuza barabarani ni wanaume flani hivi maskini, wachafu wachafu, wenye sura mbaya waliochoka na maisha, aloo nlivoanza kutembelea sehemu wanakojiuza dada poa nlijionea mambo tofauti.

Unakuta wanaume ma-handsome, warefu, wapo smart kwenye mavazi wanaongozana kwenda kununua dada poa, wanaume wengine wenye magari yao, mameneja kabisa kwenye makampuni makubwa wananunua wadada wanaojiuza barabarani, nlishangaa kweli.. Nusratt
 
Hapana dear, take it easy. Toa Elimu watu wapate kufahamu hili suala kinaga ubaga.
Hongera kwa ujasiri wako, napenda watu wanao jiamini.
cocastic nilikuwa na uwezo wa kuandika uzi na kuuacha.
Ila nikaona ni sharw nanyi uzoefu kumbe naambiwa najitangaza?
Tena naambiwa na mtu ambae ananiuliza na ninamjibu kistaarabu?
 
Hapana dear, take it easy. Toa Elimu watu wapate kufahamu hili suala kinaga ubaga.
Hongera kwa ujasiri wako, napenda watu wanao jiamini.
Uduguu umejimix ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Umesahau swali la id nyingine wohiiii ๐Ÿคฃ
 
Kabisa uongeacho ni kweli.
Makundi yapo ya aina nyingi sana.
 
Ndio hivo.
Kila mtu na mtizamo wake.
Unadhani sipati Pm, nazipata sana ila nipo hapa kwa ajili ya kurekebisha na kuwa muwazi na kutoa madhara na ushauri
 
Kuna watu hutoka vijijini wamesikia mjini kuna wanawake wanaojiuza unawapata kiraisi tu. Watu hao huishia kuliwa hela zao bure na penzi murua hawapati. Wanabaniwa kwenye mapaja kwa nyuma, chini ya dakika tano huambiwa tayari hela yao imeisha kama wanataka tena waongeze dau. Hawa wadadapoa hupendelea staili ya kuinama mashine ije kwa nyuma halafu mtulinga wanaingiza wenyewe mapajani na kuubana unadhani ni yenyewe halafu unaambiwa katikia. Unakatikia kumbe unakatikia mapaja. Ni utapeli mtupu
 
Mh, Mkuu una avatar zinashawishi daah, btw tunashukuru kwa ujumbe kuna vya kujifunza
 
Kwa hiyo, mapaja yana joto linalofanana na joto la mbususuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ