Wafahamu mabalozi wa zamani wa Tanzania - Rome, Italia

Wafahamu mabalozi wa zamani wa Tanzania - Rome, Italia

Balozi ni mmoja tu,,rev, father,Dr,mh mbunge,katibu mkuu TEC,katibu mkuu cdm,mgombea urais,mzee wa list of shame nk
 
Rudia tena kuandika orodha hiyo ionekane na kusomeka vema, hapo imefifia na haionekani vema
 
Ubalozi ktk nchi yetu, wanapewa watu waliochokwa na serikali ama wanaowekwa kando kutokana na misimamo yao. Ubalozi ni adhabu.
Tumia neno "baadhi!", ni kweli kuna baadhi ya maofisa senior wa serikali kwenye sehemu nyeti, wakiboronga, ndio wanatupwa ubalozini!, ukisikia ofisa yoyote wa juu wa kule sehemu, ametupwa ubalozini, ujue kule ameyakoroga, kutokana na seniority yake, na sensitivity ya nafasi yake, huwezi kumuweka pembeni na kumuacha hivi hivi, hivyo anatupwa ubalozini.

Ila hao ni baadhi tuu, tuna mabalozi ambao ni career diplomats kabisa kutoka MFA, hawa ni mabalozi wazuri kabisa!.

P
 
Hapo namkumbuka Prof. Mahalu, alitupiga parefu kwenye kununua jengo la ubalozi, baada ya mambo kuwa magumu mahakamani ikamlazimu Rais mstaafu, Benjamin Mkapa kula kiapo na kuwa shahidi wa utetezi mahakamani. Na ndio ikawa mara ya kwanza Rais mstaafu nchini kupanda kizimbani na kuwa shahidi
 
Mabalozi wa Zamani
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Roma, Italia: 1972 - 2024

Former Ambassadors
The United Republic of Tanzania
Rome Italy: 1972 - 2024
View attachment 3272259
Mkuu @Ojuolegbha, asante kwa hii list, imenikumbusha mengi kuhusu ubalozi wetu Italy,
Kuna kisa kilinikuta Italy, kama sio huruma ya Mtanzania mmoja, kuniokoa, saa hizi ingekuwa historia!.
Pia nikakikumbuka kile kisa cha Jengo letu la ubalozi hapo Rome, kimetufundisha mengi.

P
 
Hapo namkumbuka Prof. Mahalu, alitupiga parefu kwenye kununua jengo la ubalozi,
Mkuu Replica , hakutupiga
baada ya mambo kuwa magumu mahakamani ikamlazimu Rais mstaafu, Benjamin Mkapa kula kiapo na kuwa shahidi wa utetezi mahakamani. Na ndio ikawa mara ya kwanza Rais mstaafu nchini kupanda kizimbani na kuwa shahidi
Hiyo issue ilikuwa na ma issues issues mengine madogo madogo, ubabe, undava na uswahili swahili, matokeo ndio hayo ya kuchafuana!.
P
 
Back
Top Bottom