Haaaaa Haaaaa π
Bro hadi wewe unadhani mi ni mwanamke???mi kidume....Na kweli Evelyn Salt inawezekana kweli wewe ni mwamba [emoji3]
Mi ni kidume mkuu najitangaza rasmi[emoji3578]Huwa siamini kama hawa warembo ni wanawake..[emoji23][emoji23]
Evelyn Salt , witnessj , Rebeca 83 , Demi Joanah , Espy Atoto
π€£π€£π€£π€£ Mwanamke tajiri ila mgumu wakutoa mikopo ujambo?mzabzab mpenda uchi apewe tuzo[emoji848][emoji848][emoji849]
HahahahaBro hadi wewe unadhani mi ni mwanamke???mi kidume....
[emoji818][emoji1545][emoji817]Niko JF tangu kitambo na wengi sana humu mmenikuta nishaijua hii mitaa sema sikua active sana kwenye huu mtandao pendwa ila ktk kuishi humu nimegundua kuna watu wenye ushawishi sana humu JF sijui tuwaite JELEBRITY au sio
Unakuta kuna raia umu hata wakicomment nukta watu wanamiminika kureply likes kibao..
Kuna haja JF iwatambue hawa watu wapate verification ya account zao...
Kuna watu ambao nyuz zao ndo zinaongoza kwa kupata engagement achana na umaarufu wa uzi wa kula kimasihara..
Naomba niwatambue wafuatao km watu wa nguvu sana humu jukwaani kutokana na mchango wao kupitia post zao na ikiwezekana wajipost siku moja moja tuwajue siku tukikutana nao mtaani tuwabless mbili tatu moyo uelee
1;MSHANA JR;namuonaga km mtu fulani mwny hekima sana kupitia thread zake,usipite thread za huyu mwamba km unataka kupata madini mbalimbali
2;mzabzab; huyu mwamba matusi sana yuko sana mitaa ya jukwaa la mahusiano kule,uzi wa jukwaa la MMU bila comment ya huyu mwamba bado sana uo haujaenda mjini
3;Gentamicine;kama shabiki wa Chelsea na Simba huwa lazma nipitiw jukwaaa la Sports na huyu jamaa anakiwasha sana uko na kutoa za ndaaaani though anaonekana raia hawamuelewi mpikaji sana wa data
4;Robert Heriel; Mzee wakuitwa Taikon wa Fasihi mwamba anatoa zile ngumu kumeza yaani kupitia misimamo yake so huwa siwez kupita uzi alouanzisha huyu jamaa
5;Rikiboy;Mzee wa uzi wa kula kimasihara yaan jamaa katoa hit song moja ya kudumu mpk mwisho wa hii app moja ya uzi ambao uko active mda wote washatokea watumishi na wahubiri wakashindwa kuuzuia
6;Sky Eclat;yuko JF since 2012 namuona km Lady Jay Dee wa humu JF huyu madam,nawish nimuone yukoje
TOA APPRECIATION ZAKO KWA WANA JF wengne unaowakubali ambao wanafanya vizuri[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji115][emoji115]
[emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064]
Natafuta Ajira una akili?[emoji23]Kuna Kiranga huyu jamaa alinivutia sana kuipenda jamiiforums na kunisanua kuhusu hizi dini, kikubwa critical and logical reasoning nimejifunza kwa huyu mwamba, nakumbuka mtaa wangu ulikua jamii intelligence naanzia uko uko namalizia uko uko huyu jamaa bhana hoja zake kama haupo neutral hauwezi kumwelewa., kuna siku moja Mshana Jr aliingia kichwa kichwa akamuuliza "kiranga una akili?" Kiranga nae kabla ya kujibu akataka kujua akili ni nini kwaiyo akauliza "akili ni nini". Mjadala ukaishia hapo kila moja anahisi akijibu tu anapigwa knock-out mpaka thread ya 10 mshana hataki kufafanua akili ni nini ili ajibiwe na kiranga anataka afafanuliwe kwanza akili ni nini ili ajibu kama anayo au hana
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]napokea kwa unyenyekevu mkuuMshana jr,taikon wa fasihi na mohamed issa aman kwao watu hao pamoja na vjana akna mzabzab..beesmom..makavel10 Na askari kioja
Akili ni nini?Natafuta Ajira una akili?[emoji23]
MsosiNipo mtani napata thupu karibu sanaView attachment 2339711
Supu nzuri ila mbona kama nyumbani kwa mganga π€£π€£Nipo mtani napata thupu karibu sanaView attachment 2339711