Wafahamu Mastaa wanaotumia nguvu za Giza / ushirikina

Ka mwambie baba yako au mama yako mzazi mpumbavu alafu ndio utaojua ni neno zuri au baya,hebu onyesha nilipobishana na mungu katika thread yangu.
 
Bado akili zako zinazidi kuthibitisha jnc gani hazina akili, Wazazi wanahusika vp ktk huu uzi, au wewe ulijigegeda mwenyewe na kujiumba mwenyewe?
Ka mwambie baba yako au mama yako mzazi mpumbavu alafu ndio utaojua ni neno zuri au baya,hebu onyesha nilipobishana na mungu katika thread yangu.
 
Bado akili zako zinazidi kuthibitisha jnc gani hazina akili, Wazazi wanahusika vp ktk huu uzi, au wewe ulijigegeda mwenyewe na kujiumba mwenyewe?
Wewe kwako si unaona MPUMBAVU neno zuri,sasa nenda kamwambie baba yako au mama yako mzazi MPUMBAVU,unajifanya mtu wa Mungu lakini huna ustaarabu.
 
Usataarabu ni kutokumweleza Mtu uwongo, endelea kuhusisha Wazazi ktk huu uzi maana ww hukutokana na wazazi labda ulijiumba mwenyewe tu.

Note. Vise versa is true on behalf of the parents, so just proceed to talk about parents Mr[emoji23]
Wewe kwako si unaona MPUMBAVU neno zuri,sasa nenda kamwambie baba yako au mama yako mzazi MPUMBAVU,unajifanya mtu wa Mungu lakini huna ustaarabu.
 
Usataarabu ni kutokumweleza Mtu uwongo, endelea kuhusisha Wazazi ktk huu uzi maana ww hukutokana na wazazi labda ulijiumba mwenyewe tu.

Note. Vise versa is true on behalf of the parents, so just proceed to talk about parents Mr[emoji23]
Sehemu gani niliyo eleza uwongo,najua unajitoa ufahamu lakini maana ya MPUMBAVU unaijua.
 
Hakuna uchawi wala nini, kipaji tu.
Kuamini huu ujinga ni moja ya sababu wabongo wengi maskini hamuendelei mnakaa mnawaza uchawi tu, ushawahi ona mchawi tajiri?
Stop this nonsense kafanyeni kazi
shule umemaliza lini? Haya mambo huwezi kuyajua kama unakaa kwa baba!
 
Kwanini ukatae kuwa Freemasons hawafanyi kazi[emoji848][emoji28]
Kuna sehemu nimesema Freemason hawafanyi kazi ?Hebu nionyeshee wewe,sometimes hata kwenye mtihani unaweza kufeli kwa kutokuelewa kichwa cha habari,hebu soma uelewe nilichoandika na si kukurupuka.


"Nimeangalia video za freemason,Bone and skull na imani zote za kiilluminat nimeona upuuzi ,kila mtu aliyefanikiwa freemason,kwa hiyo ina maana Mungu hawezi kumfanya mtu akafanikiwa.sometimes unaweza kukufuru kwa maneno yako mwenyewe .

Alafu pili "hivi wewe mara ya mwisho kusoma Msaafu au Biblia ni lini ?",huoni kusoma vitabu vya kiimani kuna kusogeza karibu na Mungu na kujua mazuri ya Mungu kuliko kusoma na kutizama series hizi za Illuminat,maanake wanaweza siku wakakuvutia sababu kuona na kutizama ni moja ya mlango wa fahamu na ndio maana tukiowaona wanawake wazuri tunawatamani.

Alafu huu upuuzi kila kitu freemason,ila kaa ukijua ile style ya kukata gogo huku umechuchumaa ni style ya freemason wakiwa wanaapa,sasa sijui ukienda kukata gogo utasimama.Fanyeni kazi mafanikio ya binadamu yoyote yapo katika mistali hii "Ombeni mtapewa ,tafuteni (jitumeni,fanyeni kazi kwa bidi) mtapata ",hata siku moja huwezi omba mkate kwa Mungu ukapewa jiwe.Japokuwa wapo wanaopata mali kwa njia ya ushirikina,lakini si kama mnavyofikiri nyinyi.alafu Mungu ni wa wote anawapa wema na wabaya,sababu wote tumetoka kwake."
 
"Halafu huu upuuzi kila kitu Freemasons & Fanyeni kazi"

Inamaana hao ma-freemason hawafanyi kazi?

Mtoa mada kasema Mastaa wote wanatumia ushirikina au kataja baadhi?

Una uhakika gani kwa waliotajwa hawahusiki kwa kutumia ushirikina ktk kupata mafanikio yao?

Shetani hakumjaribu Yesu ikiwa atajirusha chini toka kileleni alipokuwa pale jangwani kuwa atampatia mali, milki za kifahari na utajiri wa dunia hii, kwanini usikubaliane na mtoa mada sasa kwa vielelezo nilivyokupatia ss?
 
Hamna sehemu niliyosema freemasoni hawafanyi kazi,ila nimetoa ushauri .fanyeni kazi kwa bidii na nikasisitiza kwa mistari miwili Yesu mwenyewe alisema ombeni mtapewa ,tafuteni mtapata.

"Una uhakika gani kwa waliotajwa hawahusiki kwa kutumia ushirikina ktk kupata mafanikio yao?"

Je wewe una uhakika kama hawa waliotajwa wote watumia ushirikia au uchawi? Je umejuaje? na kumbuka Mungu hapendi kumshududia mtu uwongo mwisho wa siku utakuwa huna tofauti na Pilato.

Kweli Yesu alijaribiwa na shetani lakini haiondoi kwamba hata Mungu anauwezo wa kumfanya mtu tajiri,mfalme Selemani yule pale alipewa hekima na busara na utajiri wakutosha na Mungu lakini baadaye akamuaasi Mungu na kuwa mzinzi,pamoja na kuabudu miungu ya wanawake aliyokuwa akitembea nao,so ina maana ile miungu ilikuwa inamsaidia Selemani kumantain utajiri wake.

Mungu wote ni wake wadhambi na wasafi na wote anawapa kile waombacho,siku zote yupo hivyo na siku zote hachoki kuwatafuta watu wake warudi kwake.
 
Hahaaaa
 
Hahaaaaa
 
Tawireee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…