joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ka mwambie baba yako au mama yako mzazi mpumbavu alafu ndio utaojua ni neno zuri au baya,hebu onyesha nilipobishana na mungu katika thread yangu.ZABURI 14:1
1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema."
Biblia inanena matusi?
Kwa ukomo wa akili zako neno mpumbavu ni tusi?
Endelea kubishana na vielelezo toka ktk Biblia maana Mungu ndiye akujuaye jnc gani unahitaji neema na rehema zake ili ujitambue.