Wafahamu Mastaa wanaotumia nguvu za Giza / ushirikina

Tujuze na sis tuufahamu ukweli?
Freemasons au kwenda kwa waganga?

Hebu liweke vzr hapo!

Nkuambie kitu hakuna msanii asiyeroga Tanzania hii...kuanzia Hip hop mpk kingwendu!!

Sisemi mengi ngoja ninyamaze ila mwaka Jana niliyajua mengi jamani siaminiii!!!kabisaa
 
Kwa iyo Mama mh. sana Rwakatare na Mch Mzee wa upaku aka zee la bapa nao ni wasanii?? Jamani wekeni watu kwenye vyungu vyao
 
Nipe tofauti kati ya washirikina wachawi na wanga,au umekaririshwa
 
Hivi watu wanaoulizaga "Mnanijua mimi?" Bado tuu wapo?
 
Dhambi isiyosamehewa ktk Biblia ni "kumkufuru Roho Mtakatifu"

Inamaana kama Mtu hayupo ktk kundi la illuminants afu akamkufuru Roho Mtakatifu atasamehewaje na kuuona ufalme wa Mungu?
illuminates ni wapinga kristo hawa hawawezi kusamehewa mazambi yao biblia inasema kwamba wameshapigwa chapa yao ya 666
wachawi,waganga,watenda zambi ni kundi moja wanayo nafasi ya kutubu au kuendelea kuongozwa na shetani njia ya motoni
 
Hakuna uchawi wala nini, kipaji tu.
Kuamini huu ujinga ni moja ya sababu wabongo wengi maskini hamuendelei mnakaa mnawaza uchawi tu, ushawahi ona mchawi tajiri?
Stop this nonsense kafanyeni kazi
Wewe kiboko unabishana mpaka na Bible.. Uchawi upo .. . Hao waliofanikiwa Sana wanaenda kwa waganga .. . Ila ndio wakwanza kupinga
 
Pale No 5 pametisha naamini hawa wachungaji wengi ni talalila tu
 
Ngoja nikugegede mana umbea huo sipat picha unavyo lalamika kitandani aiseeee inaonekana una kishundu cha haja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…