Wafahamu Mastaa wanaotumia nguvu za Giza / ushirikina

Wafahamu Mastaa wanaotumia nguvu za Giza / ushirikina

Tujuze na sis tuufahamu ukweli?
Freemasons au kwenda kwa waganga?

Hebu liweke vzr hapo!

Nkuambie kitu hakuna msanii asiyeroga Tanzania hii...kuanzia Hip hop mpk kingwendu!!

Sisemi mengi ngoja ninyamaze ila mwaka Jana niliyajua mengi jamani siaminiii!!!kabisaa
 
Kwa iyo Mama mh. sana Rwakatare na Mch Mzee wa upaku aka zee la bapa nao ni wasanii?? Jamani wekeni watu kwenye vyungu vyao
 
Nipe tofauti kati ya washirikina wachawi na wanga,au umekaririshwa
Freemasons, wachawi, washirikina, wanga, waganga wa kienyeji, mapepo, mizimu, majini wote ni wakala wakuu wa shetani/lucifer.

Sawa na TTCL, VODACOME, TIGO, AIRTEL, HALOTEL NA ZANTEL ni aina tofauti za kampuni lkn zinahusika kwa 100% kuleta mawasiliano kwa njia za simu za mezani na mikononi.
 
Hivi watu wanaoulizaga "Mnanijua mimi?" Bado tuu wapo?
 
Dhambi isiyosamehewa ktk Biblia ni "kumkufuru Roho Mtakatifu"

Inamaana kama Mtu hayupo ktk kundi la illuminants afu akamkufuru Roho Mtakatifu atasamehewaje na kuuona ufalme wa Mungu?
illuminates ni wapinga kristo hawa hawawezi kusamehewa mazambi yao biblia inasema kwamba wameshapigwa chapa yao ya 666
wachawi,waganga,watenda zambi ni kundi moja wanayo nafasi ya kutubu au kuendelea kuongozwa na shetani njia ya motoni
 
Hakuna uchawi wala nini, kipaji tu.
Kuamini huu ujinga ni moja ya sababu wabongo wengi maskini hamuendelei mnakaa mnawaza uchawi tu, ushawahi ona mchawi tajiri?
Stop this nonsense kafanyeni kazi
Wewe kiboko unabishana mpaka na Bible.. Uchawi upo .. . Hao waliofanikiwa Sana wanaenda kwa waganga .. . Ila ndio wakwanza kupinga
 
Pale No 5 pametisha naamini hawa wachungaji wengi ni talalila tu
 
Wanazengo mmezidi kulalamika, mnaletewa umbea badala ya kusikiliza tu mkapita mnaanza midomo kushindana na Mimi , hivi mnajua connection yangu ? , mnanijua vizur? , nyie shukuruni tu nipo humu nawapa umbea siku zinaenda, siku nikipotea humu mtalia na kusaga Meno, maana najua mnavyopenda umbea kuliko kula , mnajua na risk sana maisha yangu kujitoa kafara kuanika mambo ya watu halafu nyie mnakuja midomo juu juu kama nyuchi za bundi mxiee , mnaniudhi mbwa nyie mjue? Yan Tena mkome kuanzia Leo , eti mnajifanya mnanichamba mbwa nyie wakati umbea tu ndo umewajaa, Leo nawapa onyo mbwa nyie mnikome mxieww


Turudi kwenye mada wale mnaopenda umbea na kusoma kimya kimya bila comment za karaha, ifuatayo chini ni list ya mastaa wanaotumia nguvu za giza/uchawi /freemason katika kazi zao , mji mzito huu , duniani kuna mambo nyie acheni tu , list inastaajabisha lakini Ndo ukweli usiopingika, wengine sitawataja maana mpaka mikono inatetemeka kuandika

1. alikiba
2. Diamond Platnum
3 . Irene uwoya
4. Anthony lusekelo
5. Mama rwakatale
6. Muna love
7. Lulu Michael
8. ....
9.....
10....
Ngoja nikugegede mana umbea huo sipat picha unavyo lalamika kitandani aiseeee inaonekana una kishundu cha haja.
 
Back
Top Bottom