Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Sana maana alitungiwa albamu nzima na Sir nature! Sinta amewika jamani kaaah!Of course, alikuwa ni Wema Sepetu wa enzi zile! Lakini kama wakati ule pangekuwa na FB na Instagram basi nadhani angekuwa ni zaidi ya Wema Sepetu!