Huu muungàno fake naona kama unakaribia mwisho
Dunia ya leo Muungano wa kiuchumi ndio muhimu sio huu wa kupeana madaraka na kuiba mali za nchi moja kwenda kujenga nchi za waarabu.
Sababu zilizopelekea tuungane mama Samia amezivunja hivyo muungano hauna maana yoyote tena kwa Watanganyika .
Tuliungna na Zanzibar ili Utawala wa Kisultani usirudi Zanzibar kwa mgongo wa Wahizibu .
Ndio maana wajukuu wa Sultani kamwe hawakuruhusiwa kutawala Zanzibar .
Tuliungna na Zanzibar kulinda mipaka yetu ili nchi yetu isivamiwe na kuporwa Rasilimali zetu kama ilivyo Kongo.
Sasa leo Bandari kama lango kuu la usalama wa nchi zimeshavamiwa na kutekwa na mtawala kutoka Omani ,Viwanja vya ndege vileshavamiwa ,mapori yote wavamizi wameshachukua na wako tayari kuandaa makundi ya Kigaidi kama Hezzibolla ,alshabab n.k.
Wamehonga wabunge na kila mtu ili tu waendelee kuiba kila kitu mpaka 2035.
Sasa ile maana ya muungano haina maana tena kwa Watanganyika .
Ni bora tuwe na shirikisho kama la East Afrika na Sadec na Zanzibar iwe ni nchi mojawapo na sio huu uvamizi wa nchi moja kutoa Rais kwenda kutawala nchi nyingine tena akiwa na mamlaka makubwa ya kimungu.
2025 akishinda ndio watanganyika wataisoma namba ya Kirumi maana akiteua CDF , IGP na mkuu wa usalama wa Taifa Meanzibar basi ndio nchi itakua mali ya Abduli .
Tanganyika itakua ni kama kabustani la Waarabu na familia ya watu watano kutoka Zenji na sio shamba tena.
Ukizingatia Watanganyika ni watu wanaopenda Tabu tuu hawapendi mambo mazuri .
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tuanze kumkataa Mchengerwa Dalali mkuu wa kutaka kuibinafsisha Serikali ya Tanganyika kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa . Tuhamasishane wote kuwakimbiza wahuni wanaonunua wapiga kura na kuwafulizimia mbali wao ndio waone uchaguzi ni mchungu na hila zao. Ama Chanema na ACT wachukue 85% au CCM waombe poo kila mahali sio kulia lia tena.
Na kama wapinzani hawajajiandaa kuwapelekea moto watakaojaribu kuhujumu uchaguzi basi ni bora waachane na uchaguzi huu waache tu wahuni wawapangie mpaka nani aishi na nani apotee.