connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
Mkuu, hapo kuna shida gani? mbona wote wana hudumu Wizara za Jamhuri ya Muungano?Katika kudumisha Muungano, Ni vyema kuwatambua Mawaziri toka upande wa pili wa Muungano.
1. Masauni (Mambo ya Ndani),
2. Kombo (Mambo ya Nje),
Tatizo lipo uchukuzi. Masuala ya Bandari yalikuwa ya muungano lakini Zanzibar wakaliondoa kimya kimya.Katika kudumisha Muungano, Ni vyema kuwatambua Mawaziri toka upande wa pili wa Muungano.
1. Masauni (Mambo ya Ndani),
2. Kombo (Mambo ya Nje),
3. Mbarawa (Uchukuzi),
Huu muungàno fake naona kama unakaribia mwishoUdumu Muungano wetu
Pamoja sanaKatika kudumisha Muungano, Ni vyema kuwatambua Mawaziri toka upande wa pili wa Muungano.
1. Masauni (Mambo ya Ndani),
2. Kombo (Mambo ya Nje),
3. Mbarawa (Uchukuzi),
Sasa wakiwa na vitu vyao inakuwa hawafai? Huu ni uchokozi.Ikiwa Wazanzibar wana Bandari zao,viwanja vya ndege vyao.Huyu Mbarawa anafanya nini huku Tanganyika.Hana uchungu na mali za Tanganyika ndio maana kauza Kilimanjaro International Airport kwa ndugu zao wa Oman 🇴🇲.
3. Makamu Mbarawa
Mkuu hiyo katiba umeisoma vizuri? Mbona iko wazi!!..Mbarawa huyo hapo kinyume na katiba.
Mkuu hiyo katiba umeisoma vizuri? Mbona iko wazi!!
Sijui unaielewa vipi wizara iliyo ya Muungano.Mzanzibari hatakiwi kuongoza wizara isiyo ya muungano, na kuanza kupiga mnada mali za Watanganyika.
Swala la kuuzwa chochote, kama kipo kilichouzwa, linaweza kufanywa na rais hata atoke upande gani.hata mbuga ya Loliondo ilianza kuuzwa Rais akiwa Mzanzibari, alipoona kuna upinzani akateua Waziri Mzanzibari.
Dunia ya leo Muungano wa kiuchumi ndio muhimu sio huu wa kupeana madaraka na kuiba mali za nchi moja kwenda kujenga nchi za waarabu.Huu muungàno fake naona kama unakaribia mwisho
Ni kweli mkuu. Tusaidiane ili uvunjike haraka iwezekanavyo.Sababu zilizopelekea tuungane mama Samia amezivunja hivyo muungano hauna maana yoyote tena kwa Watanganyika .
Ni kweli mkuu. Sasa tujitahidi ili tuuvunje.Tuliungna na Zanzibar kulinda mipaka yetu ili nchi yetu isivamiwe na kuporwa Rasilimali zetu kama ilivyo Kongo
Hapa hujui. Mradi nawe umeadika tu. Jifunze kuandika mambo unayoyajua ili usionekane mjinga.Sasa leo Bandari kama lango kuu la usalama wa nchi zimeshavamiwa na kutekwa na mtawala kutoka Omani
Ni kweli kwasababu mulidhani munakuja kuidhulumu Zanzibar na hamujatosheka munataka Zanzibar iwe 100% koloni la Tanganyika. Hili bado hamujafanikiwa ndo sababu ya makelele haya. Endeleeni tu.Sasa ile maana ya muungano haina maana tena kwa Watanganyika .
Hapa umesema kweli. Tuombee hilo litokee ili nasi tupumue. Jitahidini kuna siku tutakuwa na shitikisho. Hili la nchi moja kuitawala nyingine ni matokeo ya matendo yenu kudhani kuwa ni tishio na inastahiki kutupiliwa mbali. Muliposhindwa mukatunga muungano huu ambao leo munauita wa uvamizi.Ni bora tuwe na shirikisho kama la East Afrika na Sadec na Zanzibar iwe ni nchi mojawapo na sio huu uvamizi wa nchi moja kutoa Rais kwenda kutawala nchi nyingine tena akiwa na mamlaka makubwa ya kimungu.
Naliombea hili litokee kwani wenyewe mumelala usingizi na sasa mumebaki kulialia tu mukdhani hayo mambo mutaletewa kwenye kisahani cha fedha. Wajinga ndio waliwao.Tanganyika itakua ni kama kabustani la Waarabu na familia ya watu watano kutoka Zenji na sio shamba tena.
Hili ni sawa, lakini ili wafikishe lengo hilo mukajianikishe, lakini hamtofanya na mtarudi kulialia. Wacheni upumbavu. Amkeni, wajibikeni.Ama Chanema na ACT wachukue 85% au CCM waombe poo kila mahali sio kulia lia tena.
Vitu vyao ? Nani hao wenye vitu vyao tu !!!!Sasa wakiwa na vitu vyao inakuwa hawafai? Huu ni uchokozi.
Sijui unaielewa vipi wizara iliyo ya Muungano. Ukiangalia orodha ya kwanza ya katiba ya JMT utaona mambo ya muungano. Angalia namba 11, 17, 18 na 19. Ikiwa hayo ni mambo ya muungano na yapo chini ya wizara ya uchukuzi kuna Mtanzania -Mtanganyika au Mzanzibari - asiyestahiki kuwa waziri. unaposema katiba huwa unakusudia katiba ipi?
Swala la kuuzwa chochote, kama kipo kilichouzwa, linaweza kufanywa na rais hata atoke upande gani.
Angalia nilikuwa najibu comment gani utaelewa.Vitu vyao ? Nani hao wenye vitu vyao tu !!!!