Wafahamu professional musicians wa kitanzania wanaoishi nje ya Nchi

prs

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
2,642
Reaction score
3,373
Kwanza Salam Wakuu.
Nimevutika kuandika hii mada kutokana na Waliowengi kufuatilia Bongo fleva zaidi..imesababisha Music kushuka kiwango na Kulazimisha hata Wale waimbaji Wenye vipaji
mf:Christian Bella nae sasa mwimbaji wa Bongo fleva..

Leo natambulisha baadhi Utafiti bado unaendelea..
1)Yvonne Sangudi

U. S. A ndiko anapoishi
Muimbaji


2)Lister Elliya
Japan ndipo anapoishi
Piano&Muimbaji3)Fresh Jumbe anaishi Japan
Muimbaji

4)Donald s Omar anaishi Malaysia
Piano&Muimbaji


Utafiti Bado unaendelea.. Uzuri wa Hawa Pro Musician huwa hawana Makuu linapokuja swala la lifestyle..
"Ushauri"
Bongo fleva Wakiume Badilikeni.. Huhitaji kuvaa au kujiremba kama mwanamke na Nywele kama za Diamond.. Please ..
Boresheni Mziki wenu Mtakubalika tu.
 
katika orodha yako sijamuoma innocent galinoma, emanuel nkurila, mr. paul, rama dee nk.

kuna sababu inayofanya lifestyle yao ya social media isiwe inafatiliwa sana.
ni kwamba mziki wanaofanya huko ughaibuni hauna impact kwa kizazi cha mitandaoni cha hapa tz.

lakini la pili wengi wa wanamziki wa kitanzania waishio ughaibuni kiumri ni watu wazima sana, hawawezi kukimbizana na generation hii ya kina diamond ambayo ndiyo wengi wanaovuma hapa nyumbani na ndio iliyo dominate kiwanda cha mziki hapa EA.

kingine ni umbali.
madj na wadau wa media za hapa nyumbani wanatoa promo kwa mtu ambaye wanakutana nae kila siku kwenye kumbi za starehe, bar au mitaani kuliko hao walio ughaibuni ambao kukutana kwao lazima iwe kwa mawasiliano ya skype/mtandao ya kijamii au pale wanapokuja tz kwa mapumziko.
 
Ahsante sana Mkuu kwa Kuongezea.. Nakubaliana na hoja zako
 
Balozi vipi naye si professional
Balozi nitajaribu kufuatilia zaidi.. Ndiyo maana nimesema utafiti unaendelea ili kujua Kiwango na kama bado yuko kwenye game..
 
Pongezi kwao..... Ila ukubwa wa kipaji cha mtu unapimwaje?

Ili tujiridhishe hawa wa bongo fleva hawajui kuwazidi kina Paul?
 
Reactions: prs
Pongezi kwao..... Ila ukubwa wa kipaji cha mtu unapimwaje?

Ili tujiridhishe hawa wa bongo fleva hawajui kuwazidi kina Paul?
Si kwamba hawajui, Bali mapungufu ni mengi sana kwenye bongo fleva,Si Wabunifu ila wanategemea zaidi Video za Vichupi na Skendo kutoka lakini si Music
pata picha Bongo fleva bila video inauzika ?
Ila Umeona hapa namna Watu wanavyowakumbuka kina Galinoma..
Mkuu fuatilia hao jamaa hapo juu Uone tofauti ninayoiongelea hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…