Wafahamu professional musicians wa kitanzania wanaoishi nje ya Nchi

Wafahamu professional musicians wa kitanzania wanaoishi nje ya Nchi

prs

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
2,642
Reaction score
3,373
Kwanza Salam Wakuu.
Nimevutika kuandika hii mada kutokana na Waliowengi kufuatilia Bongo fleva zaidi..imesababisha Music kushuka kiwango na Kulazimisha hata Wale waimbaji Wenye vipaji
mf:Christian Bella nae sasa mwimbaji wa Bongo fleva..

Leo natambulisha baadhi Utafiti bado unaendelea..
1)Yvonne Sangudi
38746699_2357225494287935_649072976943120384_o.jpg

10562555_834376669906166_6108844882866215004_o.jpg

U. S. A ndiko anapoishi
Muimbaji


2)Lister Elliya
Japan ndipo anapoishi
Piano&Muimbaji
31431217_1682183138537800_7055601213911334912_n.jpg
3)Fresh Jumbe anaishi Japan
Muimbaji
22549936_1578233025567790_6302882624278389684_n.jpg

4)Donald s Omar anaishi Malaysia
Piano&Muimbaji
IMG-20180310-WA0002.jpg

IMG-20171006-WA0009.jpg

Utafiti Bado unaendelea.. Uzuri wa Hawa Pro Musician huwa hawana Makuu linapokuja swala la lifestyle..
"Ushauri"
Bongo fleva Wakiume Badilikeni.. Huhitaji kuvaa au kujiremba kama mwanamke na Nywele kama za Diamond.. Please ..
Boresheni Mziki wenu Mtakubalika tu.
 
katika orodha yako sijamuoma innocent galinoma, emanuel nkurila, mr. paul, rama dee nk.

kuna sababu inayofanya lifestyle yao ya social media isiwe inafatiliwa sana.
ni kwamba mziki wanaofanya huko ughaibuni hauna impact kwa kizazi cha mitandaoni cha hapa tz.

lakini la pili wengi wa wanamziki wa kitanzania waishio ughaibuni kiumri ni watu wazima sana, hawawezi kukimbizana na generation hii ya kina diamond ambayo ndiyo wengi wanaovuma hapa nyumbani na ndio iliyo dominate kiwanda cha mziki hapa EA.

kingine ni umbali.
madj na wadau wa media za hapa nyumbani wanatoa promo kwa mtu ambaye wanakutana nae kila siku kwenye kumbi za starehe, bar au mitaani kuliko hao walio ughaibuni ambao kukutana kwao lazima iwe kwa mawasiliano ya skype/mtandao ya kijamii au pale wanapokuja tz kwa mapumziko.
 
katika orodha yako sijamuoma innocent galinoma, emanuel nkurila, mr. paul, rama dee nk.

kuna sababu inayofanya lifestyle yao ya sicial media isiwe inafatiliwa sana.
sababu hiyo ni kwamba mziki wanaofanya huko ughaibuni hauna impact kwa kizazi cha mitandaoni cha hapa tz.

lakini la pili wengi wa wanamziki wa kitanzania waishio ughaibuni kiumri ni watu wazima sana, hawawezi kukimbizana na generation hii ya kina diamond ambayo ni wengi wanaovuma hapa nyumbani.

kingine ni umbali.
madj na wadau wa media za hapa nyumbani wanatoa promo kwa mtu ambaye wanakutana nae kila siku kwenye kumbi za starehe, bar au mtaani kuliko hao walio ughaibuni ambao kukutana kwao lazima iwe kwa mawasiliano ya skype au mtandao ya kijamii.
Ahsante sana Mkuu kwa Kuongezea.. Nakubaliana na hoja zako
 
Balozi vipi naye si professional
Balozi nitajaribu kufuatilia zaidi.. Ndiyo maana nimesema utafiti unaendelea ili kujua Kiwango na kama bado yuko kwenye game..
 
Pongezi kwao..... Ila ukubwa wa kipaji cha mtu unapimwaje?

Ili tujiridhishe hawa wa bongo fleva hawajui kuwazidi kina Paul?
 
  • Thanks
Reactions: prs
Pongezi kwao..... Ila ukubwa wa kipaji cha mtu unapimwaje?

Ili tujiridhishe hawa wa bongo fleva hawajui kuwazidi kina Paul?
Si kwamba hawajui, Bali mapungufu ni mengi sana kwenye bongo fleva,Si Wabunifu ila wanategemea zaidi Video za Vichupi na Skendo kutoka lakini si Music
pata picha Bongo fleva bila video inauzika ?
Ila Umeona hapa namna Watu wanavyowakumbuka kina Galinoma..
Mkuu fuatilia hao jamaa hapo juu Uone tofauti ninayoiongelea hapa.
 
Back
Top Bottom