Wafahamu professional musicians wa kitanzania wanaoishi nje ya Nchi

Mbona Sijamuona Sheila & Juakali au Arabuni sio Nje?
 
Reactions: prs
Mbona Sijamuona Sheila & Juakali au Arabuni sio Nje?
Niwe mkweli hawa Wawili siwajui, Iabda mpaka nione picha zao, ila Katika pitapita zangu Kibiashara hasa Dubai mitaa ya Deira na bur Dubai nilikutana na Bands za Wabongo.. Ila wakaniambia wanafanya kazi kwa Mikataba ikiisha wanarudi Bongo .
Hawa nilioweka kwenye Mada Wanaishi Nje miaka 10 na Zaidi..
 
Hiyo picha ya jamaa wa Malaysia mbona wanachezena chuchu halafu wameshikana viuno watoto wa kiume mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha Mkuu Sina Jibu la picha ila naweza kusema wamezoeana, nimepitia profile yao.. nimeona picha zao nyingi na katika Maelezo yao Wamekua na Kusoma pamoja, Ukiacha Mtanzania aliyeungana nao baadae, Band inaitwa Kaya
 
Haha Mkuu Sina Jibu la picha ila naweza kusema wamezoeana, nimepitia profile yao.. nimeona picha zao nyingi na katika Maelezo yao Wamekua na Kusoma pamoja, Ukiacha Mtanzania aliyeungana nao baadae, Band inaitwa Kaya
Haya mkuu. Let's assume hiyo ndio life style yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha poroporo zako ao ni waimbaji wavi club vidogo tu hebu rusha instagram zao utakuta hazina hata verification badge ..ndo ujuw sasa ni wasani wa vichochoroni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yeyote anaweza kupata hiyo na isitoshe followers unaweza kununua.. Hivyo si Kipimo sahihi ..Hata hao Bongo fleva performance zao nje ni kwenye Clubs siyo Stadium..
Mimi nimeangalia uwezo wao kimuziki siyo Kufahamika Bongo.
Check Yvonne sangudi na Nyimbo yake Tanzanite halafu linganisha na nyimbo ya Bongo fleva yeyote utapata jibu.
 
viuew unanunuwa wapi mkuu?? hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
viuew unanunuwa wapi mkuu?? hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Unazungumzia YouTube Mkuu..?
Huko mbona Hata kina Shishi wanatesa?
Kuna nyimbo nyingi Diamond amemzidi viewers Usher Raymond unawalinganisha vipi hapo?
Kuna Umaarufu na Umahiri
Mada hii inalenga Wanamuziki Mahiri,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…