Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niwe mkweli hawa Wawili siwajui, Iabda mpaka nione picha zao, ila Katika pitapita zangu Kibiashara hasa Dubai mitaa ya Deira na bur Dubai nilikutana na Bands za Wabongo.. Ila wakaniambia wanafanya kazi kwa Mikataba ikiisha wanarudi Bongo .Mbona Sijamuona Sheila & Juakali au Arabuni sio Nje?
Haha Mkuu Sina Jibu la picha ila naweza kusema wamezoeana, nimepitia profile yao.. nimeona picha zao nyingi na katika Maelezo yao Wamekua na Kusoma pamoja, Ukiacha Mtanzania aliyeungana nao baadae, Band inaitwa KayaHiyo picha ya jamaa wa Malaysia mbona wanachezena chuchu halafu wameshikana viuno watoto wa kiume mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mkuu. Let's assume hiyo ndio life style yao.Haha Mkuu Sina Jibu la picha ila naweza kusema wamezoeana, nimepitia profile yao.. nimeona picha zao nyingi na katika Maelezo yao Wamekua na Kusoma pamoja, Ukiacha Mtanzania aliyeungana nao baadae, Band inaitwa Kaya
hawana kitu etihuyo nae ndio walewale kama rama dee... nasikia huko nje wameolewa na vibibi vya kizungu.
arabuni sio inje ni ubataniMbona Sijamuona Sheila & Juakali au Arabuni sio Nje?
Mkuu yeyote anaweza kupata hiyo na isitoshe followers unaweza kununua.. Hivyo si Kipimo sahihi ..Hata hao Bongo fleva performance zao nje ni kwenye Clubs siyo Stadium..acha poroporo zako ao ni waimbaji wavi club vidogo tu hebu rusha instagram zao utakuta hazina hata verification badge ..ndo ujuw sasa ni wasani wa vichochoroni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Umepitia profile zao? unawajua?Watakuwa wanapiga kwenye vipub vya uchochoroni kwa kiingilio cha kinywaji
Sent using Jamii Forums mobile app
viuew unanunuwa wapi mkuu?? hahahahaMkuu yeyote anaweza kupata hiyo na isitoshe followers unaweza kununua.. Hivyo si Kipimo sahihi ..Hata hao Bongo fleva performance zao nje ni kwenye Clubs siyo Stadium..
Mimi nimeangalia uwezo wao kimuziki siyo Kufahamika Bongo.
Check Yvonne sangudi na Nyimbo yake Tanzanite halafu linganisha na nyimbo ya Bongo fleva yeyote utapata jibu.