Wafahamu wachawi na uchawi hapa


Pole na kazi mkuu,kuna jambo naomba utusaidie sisi wadau tunaopenda kujua hii elimu,pia kama kuna source of Information yeyote nakuomba msaada wako mkuu.Asante
 
tatzio wew wataka sikia kuwa mimi nilikuwa mchawi au mganga....? anyway lets skip that part.

kama wew ni mkristo mkuu, chalenge upande wa pili wa shilingi

Napenda facts and envidence nothing personal. Huwez nenda argue na watu wenye akili ukawaeleza riwaya zako uki expect wakuchukulie serious.
Its either watakuitikia tu giving u their time au watakuuliza tha same things i'm asking u.

Ushauri:
Look for something more productive. Work hard & Believe God is with you.
Kasome: 1 Thessalonians 4: 11 - 12.
 

With al due respect. Mimi sipo hapa kum - cherish mtu, kwa hizo u so call them riwaya. Ingekuwa wanatak ambacho ni provable kingeprovika, otherwise hizo riwaya ukiatak proof zake utapata kwa riwaya pia, na sikutaka kuingia humo, ila kama tungezungumz namimi nikasema kuwa bible ilisema hivi au vile hapo ungeomba proof ya andiko, ila kwa hii case, sikutaka ku urgue.

Ila thnks kwa ushauri ulio nipa utanijenga sana
 
Uchawi upo lkn hatupaswi kuuamini sana ktk nguvu. Bali mungu ndiye mwny nguvu kuliko uchawi. Dawa ya uchawi ni yesu tu
 

Ndugu yangu pole sana hivi unamjua roho mtakatifu?? kama humjui nenda kasome matendo ya mitume uone baada ya mitume kuwahubiria watu injili na walipookoka waliwajaza roho mtakatifu ili awe msaidizi kwa maisha ya mkristo, sasa hayo makanisa uliyiyataja hawajazwi huyo roho kwa sababu hawamtumii na hawajui jinsi ya kumtumia ndio maana ibada zao huwezi ukakuta wanawatoa watu mapepo na kuponya watu,lakini kumbe huyo roho mtakatifu ndio hutoa vipawa hivyo vya kuponya na kutoa pepo na vingne vngi kwa mtu alienae kwahiyo unapoona mtu anatoa pepo jua kwmba huyo anaroho mtakatifu ndio maana kama huna huyo roho wew huwezi kutoa pepo kwa maana roho mtakatifu ni roho wa Mungu kwahiyo ananguvu za Mungu,na ukishajazwa huyo roho mtakatifu basi ni lazima unene kwa lugha usioifahamu ndo mana makanisa ya kilokole hunena kwa lugha sawasawa na kanisa la kwanza kabisa la mitume,kwahiyo sio kila kanisa ukajua kwa sababu wanamhubiri yesu ukajua wanaouwezo wa kumshinda mchawi au pepo kwa maana pasipo roho huwezi pata nguvu xa kutoa pepo na wachawi maana utakemea tu pasipo maneno kuwa na nguvu itakuwa ni sawa na hata wew kukemea,kwahyo hayo makanisa ibada zake ni tofauti sana na ibada za walokole kwa maana walokole huitaji sana roho mtakatifu ashuke kwnye ibada zao ndio maana husifu na kuabudu na pia kuomba kwa pamoja.huyo roho mtakatifu huwa hakai kwa mtu mwnye dhambi maana yeye huwa ni mtakatifu na hawezi kuchangamana na giza kwa sababu yey ni nuru ndo mana huwezi kuta mtu ni mchawi afu eti awe anauwezo wa kunena.
Nafikiri mkuu utakuwa umeelewa tofauti ya hayo makanisa
 

kuna ukweli hapa..
 

mkuu BIBLIA haisomwi km unavyosoma gazet la uhuru.mwombe Mungu akuongoze na usisome ili ushindane na wengine utaaibika..kuna watumish wa Mungu ni drs la saba anaielewa Bibilia kwa sababu anamtanguliza Mungu kwa kila kitu...ni ushaut tu
 

Napokea ushauri wako tusome na wewe nakushauri jifunze kuandika maana una mwandiko mbovu kabisa.
 
foxyizafa tatizo lako unashindwa kutofautisha mlokole na muumini wa kawaida si kila mtu anaeenda kanisani basi ukajua ni mlokole,kingine hao watu unaowaita waganga njaa haohao pamoja na ugangaji njaa wao lakini wanawafanya watu wanaokoka ndio maana hata wew kama unataka kujua wanalindwa na nani nenda kwa mganga yoyote mkubwa au kama unamajini jaribu kumrushia mmojawapo wa hao waganga njaa ili asiwapoteze watu au asiwaritadishe hata baadhi ya waumini wenu pia afu ndo utajua kama ni mganga njaa kweli au ni nguvu za Mungu ziko ndani yake,unajua tatizo lenu nyie mnaanza kukaririshwa mapema bila kuelewa na haya ndo madhara yake sasa
 
Last edited by a moderator:
stunna Muhusika anaiweka fimbo hiyo chini, kisha huanza kusoma dua fulani kwa Lugha ya kiarabu fimbo hiyo hunyanyuka

Uchawi hauna dini wala kabila, ni universal , kila jamii ktk nyakati tofauti mpk leo hii wanaendelea Ku practice uchawi, lugha tofauti hutumika kwa jamii tofauti zenye ku practice uchawi. Wazungu in Dark ages walitumia kiarabu ? Refer magic spells casted by Harry Potter. Unajifunza nini ktk zile spells? Ile ni lugha ipi?
 
Last edited by a moderator:

Mbona wewe unajibu kwa hasira tofauti na wachangiaji wengine?sisi tunataka elimu sio ghadhabu mara haujui,sasa wewe unayejua si ndio tupe hiyo elimu tuongeze kitu kuliko kumcrush mtu.
 

Atazungumziaje waislam wakati yye c muislam amezungumzia yale anayoyafahamu.Na pia walokole ndio waombaji ambao wanaenda mbele za Bwana kweli.
Kama wewe unajua connection ya uchawi na waislam share hapa tutasoma.
Tangu nimeota ndevu mpka sasa nimekuja kutamvua walokole wale wanaomuabudu Mungu kwa roho na kweli ndio wenye raha zaidi hapa duniani .
 

Labda niweke sawa, sijalenga lugha fulan lazima kutumika, soma unielewe.
Maana hata vilugha vya asili hutumika. Kwenye ulumwengu wa kiroho hakuna barrier ya lugha ila kuna spell nyingi zenye nguvu zipo katika baadhi ya lugha
 
Ahahaha ulitecomment hapa unahitaji maombi ,sasa kama wewe unafahamu kuzidi yeye share nasi,na utuambie je wachawi nini kinawafanya waanguke au waokoke na wakikemewa kwa jina la Yesu wanashindwa kweki?
Kama kuna type zingine ambazo wewe ulishaprictise sema na pia utuambie umepata faida gani na huo uchawi hadi wa ulaya zaidi ya kujiangamiza?Mimi kwa upande wangu mtoa mada ni mtu mwenye hekima ametujuza mambo ya kweli.Na pia nataka nikwambie shetani anamiliki makanisa yake ni kweli lakini kanisa la uongo linatambulika kaka wacha wale wamuabudio Mungu kwa roho na kweli wafanye yao.Hakika jina la Yesu ni noma sana mimi najua hilo damu yake na jina lake vinapony
 

Na mimi nikukumbushe tu kauli ya Yesu aliposema "Wengi watakuja sema bwana kwa jina lako tuliponya wagonjwa, viwete walitembea na kufukuza pepo. Yesu atawaambia ondokeni hapa sikuwajua mimi" Mathayo 24. So si kila anayeondoa pepo kanisani anamwamini Yesu. So unaweza kujiona wewe ni bora kwa 7bu mlokole kumbe Yesu hakutambui.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…