mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Ukristo sio uchawi ila wapo wakristo wengi wachawi mnoUkristo wenyewe ni uchawi pia.wakristo wapo wengi wachawi na waislam wapo wachawi poa.Nembo kuu ya muabudu shetani ni msalaba.Wakristo ni tabaka la kiimani lenye wivu na husda kuu na imani zinginezo.
Wewe ni mshirikinaUkristo wenyewe ni uchawi pia.wakristo wapo wengi wachawi na waislam wapo wachawi poa.Nembo kuu ya muabudu shetani ni msalaba.Wakristo ni tabaka la kiimani lenye wivu na husda kuu na imani zinginezo.
Mbona waganga wengi ni nyie waslam mkuu? Wapiga Bao nk.kwani majini kusilm nijambo baya? wehujui uliza majini wametahajwa zaid yamara 20kweny bible malaika wameelkza dawa zakupnga mappo tibiti6:1-8 na 8;1-3.mambo yaramli ymetajwa samwel1sura28aya ya3-20.yesu alielekrza kupnga majini mathayo8;28-34.namathayo17:14-21..majini pia walmwamin yesu soma marko3;11.pia walitii wanafunzi kwajina la yesu luka10:17.paulo pia alipeleka wanafunzi wakekwashetani wafundishwe wasimtukane mungu timotheo wakwnza1:18-20.hao majn niviumbe na tunaish ktk ulimwngu mmoja kwamujbu wavtbu vyte ndomna ktk biblia walaw17:1-7 MAJNI WALZNI NA WANAISRAEL SO WAO KUAMIN NIHAKI YAO NDOMANA KUNA MAJINI KILA DINI KILA KABILA NAHAYO YMESEMWA NABIBLE HATA KABLA MUHAMMAD HAJZALIWA IKIWA WACHAW WALIAMIN MFNO SIMON SOMA MITUME8:9-11.NAHATA MAPEPO WALITII VP KWNYE QURAN IONEKANE NDO AJBU NA MTAMBUE UISLAM NDODINI ILIPINGA VIKALI USHIRIKINA KULKO DN NYNGNE YYTE aya ya3 ktk sura yatano na aya yatisini ktk sura hiyohiyo mwmungu amesema wazi.quran haiusiki na uganga wala kupunga imesemwa wazi sura ya6 aya112.tujitahidini tusome tusifate mkumbo kmakuna mtu anahitaj ufafanuzi zaid anitfte mana naandka kifup sabbu nnamambo mngi yananizonga nakwakua kuna vitabu vingi nshaandika kuhusu haya mambo sioni sabbu yakujaza jukwaa mtuakitaka hoja avitafute then ataelewa vzuri
Mkuu kuna kitu cha kujifunza toka kwako, ila nashindwa kukufuatilia sababu ya mwandiko wako. Tafadhali fanyia kazi hilosijasema kila dini inamajn nmesema wapomajini kila dini nahata kabila kuna watu huwa wnangoma zaasili zamajini ambao wanamakbila hao majini wangindo,wamasai nk nawakipndasha hiyo mijn yao huongea lugha hizo htakma wnyewe wahuska hawjui lugha hizo nahiinihapahapa tz nawakskia qur.an hulia nakuzba maskio hau hukimbia kbsa ktk miil yawahucka hayo nimajn yamakbila na ktk kmbukumbu yangu nshawahi kumsmea mtusimmja ambao huwawakipndisha mapepo wanahubri biblia tena wanaijuakimbele nakinyume nlipokuja kuwaulza waksema wametkea kwny koo za kkristo safinawana tka kiti awemtuwaknisa watampa upako nk.nashkuru ckuwah shindwa ktk vtahata ckumoja.kuna jamaa namfahamu hakusoma hatadarasa moja ilaniinginia wakutgemewa ktk wilayamoja hapa nchini hiv nnavyokwambia yupo german mana wanamtumia sana ktk kazi zao yy anajini wakijerumani na simwislamu yy wala huyo jini wake kwni humtokea usiku akmwmbia kilakazi inayotakiwa kufanyka hiyo nimifano yahapa bongo tu.Tukija nje mm nmekaa india nmeona nakusoma baadh ya elimu huko wao ndio mabingwa wauchawi duniani na wanatumia hayo majini ambayo iman zao znaendana,nmekaa bosnia nako vlevle,mwisho misri ndonlipohitmisha nakuanzia masomo yangu kuna orthodox na dn nyngine kibao zakishetani na hata ndugu hujasikia inamaana hata habari za freemasons au wale wachungaji wa kule nigeria?hii dunia inasiri nyngi ndugu.usipnde kubisha kilakitu uliza kwanza
Na najivunia ushirikina wangu.Wewe ni mshirikina
Hapo ndipo ukweli ulipo ukristo ni uchawi Kama ulivyo uchawi mwingine wowote.Na ndio uchawi pekee unaothibitisha na kukiri umuhimu na uzito wa kafara ya damu ya binaadamUkristo sio uchawi ila wapo wakristo wengi wachawi mno
Mkuu kama huelewi mambo utilie.Hapo ndipo ukweli ulipo ukristo ni uchawi Kama ulivyo uchawi mwingine wowote.Na ndio uchawi pekee unaothibitisha na kukiri umuhimu na uzito wa kafara ya damu ya binaadam
Kila mtu abaki na alijualo maana kila mtu ana alijualo.Mkuu kama huelewi mambo utilie.
Ukristo sio uchawi na ndio njia pekee ya kuwasaidia wachawi. Hakuna imani nyingine duniani inayowrza kumsaidia mchawi kuacha uchawi
Ninachokueleza ndio ukwel i.unapswa kuukubali uokolewe au uukatae uhukumiweKila mtu abaki na alijualo maana kila mtu ana alijualo.
Nasubiria hukumu hapa na mkuki wa urithi wa babu yangu.Ninachokueleza ndio ukwel i.unapswa kuukubali uokolewe au uukatae uhukumiwe
. Ktk hili hakuna cha kila mtu kubaki na anachofahamu
Sio kwamba ijumaa. mda ule wa kuswali ndo ua mda wa wachawi kufrahia lugha ya mkuu wao. Yule asiye jua kusoma wala kuandika[emoji41]mwisho wa kuloga huwa ni saa 10 na nusu usiku ikizidi sana saa 11-------------------Kuna ibada ya salatul Lfajiri
Wachawi wote duniani wameipitisha siku ya ijumaa kutokufanya safari yoyote ile ya kichawi-----------Swalatl Jumaa
Katika kukwepa kwepa kwamba wachawi wanaogopa nguvu ya Dini ya Islam na vile wewe ni Kafir basi ukasingizia ulokole
Mwandiko mbaya hata kwa computer!Mkuu kuna kitu cha kujifunza toka kwako, ila nashindwa kukufuatilia sababu ya mwandiko wako. Tafadhali fanyia kazi hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
MNA JIFALIJI"Hili jina kiboko kuzimu marufuku kulitaja kabisa kuna mmoja alienda huko akajisahau akalitaja mapepo yote na shetani yaliungua kukuchafuka kabisa. Hili ni jina lipitalo majina yote.
Hapa Sijakuelewa, Wapinga Kristo wa Madhehebu yote ya Zamani, inamaana Kabla ya ulokole madhebu yote, yalikua yanakosea, na yanaendelea kukosea sio.Kuna wale wapinga Kristo wa madhehebu Yale ya zamani watakuja kuupinga wokovu. Pia kuna wale wa ibilisi watakuja na kuanza kulinganisha wokovu na dini yao