sijasema kila dini inamajn nmesema wapomajini kila dini nahata kabila kuna watu huwa wnangoma zaasili zamajini ambao wanamakbila hao majini wangindo,wamasai nk nawakipndasha hiyo mijn yao huongea lugha hizo htakma wnyewe wahuska hawjui lugha hizo nahiinihapahapa tz nawakskia qur.an hulia nakuzba maskio hau hukimbia kbsa ktk miil yawahucka hayo nimajn yamakbila na ktk kmbukumbu yangu nshawahi kumsmea mtusimmja ambao huwawakipndisha mapepo wanahubri biblia tena wanaijuakimbele nakinyume nlipokuja kuwaulza waksema wametkea kwny koo za kkristo safinawana tka kiti awemtuwaknisa watampa upako nk.nashkuru ckuwah shindwa ktk vtahata ckumoja.kuna jamaa namfahamu hakusoma hatadarasa moja ilaniinginia wakutgemewa ktk wilayamoja hapa nchini hiv nnavyokwambia yupo german mana wanamtumia sana ktk kazi zao yy anajini wakijerumani na simwislamu yy wala huyo jini wake kwni humtokea usiku akmwmbia kilakazi inayotakiwa kufanyka hiyo nimifano yahapa bongo tu.Tukija nje mm nmekaa india nmeona nakusoma baadh ya elimu huko wao ndio mabingwa wauchawi duniani na wanatumia hayo majini ambayo iman zao znaendana,nmekaa bosnia nako vlevle,mwisho misri ndonlipohitmisha nakuanzia masomo yangu kuna orthodox na dn nyngine kibao zakishetani na hata ndugu hujasikia inamaana hata habari za freemasons au wale wachungaji wa kule nigeria?hii dunia inasiri nyngi ndugu.usipnde kubisha kilakitu uliza kwanza