demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Nadhani wengi wenu mlisikia kuwa kutakuwa naningezeko la wachezaji wasio zidi 5 wala kupungua 4 kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.
1. Lazarous Kambole. [emoji736]
Huyu ni mshambuliaji wa ziada ambaye ni back up kwa fiston mayele. Yanga SC walipata kukiri kuwa kwenye scaut sessions zao hawakuweza kuona forward bora barani afrika hivyo wanahitaji muda zaidi. Hivyo basi wameamua kwenda na Lazarous.
2. Bernard Morrison. [emoji736]
Bernard anakuja kama pendekezo maalumu la Prof Nabi ambaye alimuulizia. Nabi aliambiwa changamoto za mchezaji lakini akasema anafahamu vyema namna ya kudeal na aina hiyo ya wachezaji.
3. Stephane Aziz KI. [emoji736]
Pendekezo lingine la Prof Nabi lilikuwa ni huyu mchezaji. Nabi alivutiwa na namna ya uchezaji wake alipokuja Lupaso na timu yake Asec Mimosas.
4. Saimon Msuva. [emoji735] (Mazingumzo wa mwisho yanaendele)
Saimon hakuwa pendekezo la mwalimu. Ujio wake unalengo la kuimarisha winga ya kulia kuelekea kwenye michuano ya kimataifa. Hii imetokea baada ya kukosekana kwa mchezaji katika eneo hilo ambaue anaweza akamaliza msimu na tally kubwa ya idadi ya magoli.
5. Lomalisa. [emoji735] (Mazingumzo wa mwisho yanaendele)
Beki ya kushoto inayokuja kutibu eneo hilo. Yassin Mustafa anaweza asiwe katika sehemu ya kikosi cha yanga sc cha msimu unao ili kupisha eneo lile liwe na wachezaji 2 tu na sio zaidi.
Wachezaji wakigeni ambao wako much more likely kuondoka msimu huu ni pamoja na:- Jesus Moloko na Heritier Makambo.