Wafahamu wachezaji kumi bora kuwahi kutokea Tanzania mpaka sasa

Lunyamila mchezaji ambaye hata watoto au wachezaji wadogo mtaani walijipa jina lake kama wanavyojip majina ya watu wa Mbele.
Wakati nachipukia na ninapiga ndondo miaka ya early 1990's waliniitaga Lunyamila enzi hizo jamaa ametoka kugoma na anawaka kweli kwenye Soka.
 
Ramadhani Lenny hayupo?Itutu Kigi?Nsajigwa?Kassim Issa?Juma Mgunda?.....

Though ni vigumu kuweka kwa staili hiyo bila kuwa na Range ya miaka.....mfano kuanzia mwaka 2000 hadi sasa kipa bora ni Kaseja....beki wa kulia Nsajigwa.,...3.Kasim Issa...4.Pawasa...5.Victor Costa...6.Chuji....7.Ngasa....8.Feisal.......9.Emanuel Gabriel...10.Mtasaidia.11.Ulimboka Mwakingwe....

Ingekuwa hivi mjadala ungekuwa mzuri zaidi...miamba ya miaka 90 hadi 2000 ndo wanaingia hapo akina Mwameja,Kizota,Mmachinga,Lunyamila etc....
 
Kama hakuna,

Athuman China.

Hamisi Gaga.

Nico Njohole.

Ramadhani Lenny.

Peter Tino.




Post yako ni upupu mtupu.
 
Jela Mtagwa?
 
Hiyo list yako ina mashaka na mapungufu makubwa!mpira wa bongo na wachezaji hujawajua yaonyesha wewe ulikua mdogo sana.
Hapo unamuwekaje mtu kama Machupa?...hivi ulipata kuwasikia
Ramadhani Lenny,Hamis thobias Gaga,abdallah kibadeni,Mohamed Mwameja..aisee list ni ndefu mno..acha kabisa nchi ilikua na watu ndg akina Omar hussein Keegan,Ahmad Amasha,Hamis Kinye,Athuman china nk.
..bado hujawaweka akina Jellah Mtagwa,Peter tino huyu huyu Boniface Mkwasa ni fundi kweli kweli..
Palikua na Makumbi juma homa ya jiji yaani kama unavyoona Mayele sasa hivi

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kumbe na wewe umewasikia tu
 
Machupa anaweza kutoka kwenye list akaingia mtagwa lakini wengine ni sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…