fitonenendefu
JF-Expert Member
- Jul 27, 2022
- 428
- 881
John Makelele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soka hili la kisasa au lile la vyenga?😂Msuva ?hapati namba mbele ya kibadeni wala kizota
Wapo juu pale nimeipandisha komenti ya jamaa.Nico Njohole? Sure boy original?Thomas kipese?
Acheni kuwaja vichwq hao wazee kama wangekuwa wanajuwa wangesajiriwa Wydad naoMsuva ?hapati namba mbele ya kibadeni wala kizota
Wazee wanapambwa mno ila mpira wao ungeuona ungetapikaSoka hili la kisasa au lile la vyenga?[emoji23]
Wakati nachipukia na ninapiga ndondo miaka ya early 1990's waliniitaga Lunyamila enzi hizo jamaa ametoka kugoma na anawaka kweli kwenye Soka.Lunyamila mchezaji ambaye hata watoto au wachezaji wadogo mtaani walijipa jina lake kama wanavyojip majina ya watu wa Mbele.
Mtoto wa jana wewe bro. Unawaacha akina Constantino Kimanda na Nonda Shabani Papii. Hao hata akina Katalay hawawakutiKwa wageni ni Mafisango, Okwi, Chama na Kagere
Ndiyo maana!Unahisi nitakuwa mzee sana?😂 Nimefanya research tu mimi kijana bado.
Jela Mtagwa?Hawa ndio wachezaji bora wa mpira wa miguu kuwahi kutokea hapa Tanzania 🇹🇿 mpaka sasa:
1. Mbwana Samatta
2. Simon Msuva
3. Edbily Lunyamila
4. Sunday Manara 'Computer'
5. Juma Pondamali
6. Said Mwamba Kizota
7. Athumani Machupa
8. Zamoyoni Mogella
9. Juma Mkambi Jenerali
10. George Masatu
Mpambano ulikuwa mkali sana hivyo hawa hapa chini 50 nao ni wazuri lakini hawakuingia kumi bora:
Edward Chumila, Suleiman Matola, Sekilojo Chambua, Kenneth Mkapa, Abeid Mziba, Sanifu Lazaro, Steven Nemens, Costantine Kimanda, Monja Liseki, Said Maulid 'SMG', Mohammed Mwameja, Emmanuel Gabriel, Peter Manyika, Dua Said, Boniface Pawasa, Idi Moshi, Athumani Chama, Mohammed Hussein 'Mmachinga', Iddi Moshi, Victor Costa, Mecky Mexime, Joseph Kaniki, John Bocco, Juma Kaseja, Henry Joseph, Haruna Moshi, Mrisho Ngasa, Yusuph Macho, Madaraka Suleiman, Athumani Iddi Chuji, Nteze John, Shaban Nonda, Leodgar Tenga, Nadir Haroub, Malota Soma, Bakari Malima, Fred Minziro, Salvator Edward, Steven Mapunda, Abdalla Kibaden, Joseph Lazaro Tungaraza, Thomas Kipese, Hussein Masha, Mnenge Suluja, Hamis Gagarino, Athumani Mambosasa, Adolf Rishald, Peter Tino, Jella Mtagwa, Kasongo Athumani, Christopher Alex, Gibson Sembuli, Charles Boniface Mkwasa, Juma Mgunda, Kassim Issa, Ulimboka Mwakingwe, Ramadhani Lenny, Shadrack Nsajigwa.
Additional players wanaoweza kufanya list iende kwenye 70 badala ya 50
Kumbe na wewe umewasikia tuHiyo list yako ina mashaka na mapungufu makubwa!mpira wa bongo na wachezaji hujawajua yaonyesha wewe ulikua mdogo sana.
Hapo unamuwekaje mtu kama Machupa?...hivi ulipata kuwasikia
Ramadhani Lenny,Hamis thobias Gaga,abdallah kibadeni,Mohamed Mwameja..aisee list ni ndefu mno..acha kabisa nchi ilikua na watu ndg akina Omar hussein Keegan,Ahmad Amasha,Hamis Kinye,Athuman china nk.
..bado hujawaweka akina Jellah Mtagwa,Peter tino huyu huyu Boniface Mkwasa ni fundi kweli kweli..
Palikua na Makumbi juma homa ya jiji yaani kama unavyoona Mayele sasa hivi
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Machupa anaweza kutoka kwenye list akaingia mtagwa lakini wengine ni sahihi.Hiyo list yako ina mashaka na mapungufu makubwa!mpira wa bongo na wachezaji hujawajua yaonyesha wewe ulikua mdogo sana.
Hapo unamuwekaje mtu kama Machupa?...hivi ulipata kuwasikia
Ramadhani Lenny,Hamis thobias Gaga,abdallah kibadeni,Mohamed Mwameja..aisee list ni ndefu mno..acha kabisa nchi ilikua na watu ndg akina Omar hussein Keegan,Ahmad Amasha,Hamis Kinye,Athuman china nk.
..bado hujawaweka akina Jellah Mtagwa,Peter tino huyu huyu Boniface Mkwasa ni fundi kweli kweli..
Palikua na Makumbi juma homa ya jiji yaani kama unavyoona Mayele sasa hivi
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app