Wafahamu wachezaji kumi bora kuwahi kutokea Tanzania mpaka sasa

Wafahamu wachezaji kumi bora kuwahi kutokea Tanzania mpaka sasa

Hawa ndio wachezaji bora wa mpira wa miguu kuwahi kutokea hapa Tanzania 🇹🇿 mpaka sasa:

1. Mbwana Samatta
2. Simon Msuva
3. Edbily Lunyamila
4. Sunday Manara 'Computer'
5. Juma Pondamali
6. Said Mwamba Kizota
7. Athumani Machupa
8. Zamoyoni Mogella
9. Juma Mkambi Jenerali
10. George Masatu

Mpambano ulikuwa mkali sana hivyo hawa hapa chini 50 nao ni wazuri lakini hawakuingia kumi bora:

Edward Chumila, Suleiman Matola, Sekilojo Chambua, Kenneth Mkapa, Abeid Mziba, Sanifu Lazaro, Steven Nemens, Costantine Kimanda, Monja Liseki, Juma Kaseja, Mohammed Mwameja, Emmanuel Gabriel, Peter Manyika, Dua Said, Boniface Pawasa, Idi Moshi, Athumani Chama, Mohammed Hussein 'Mmachinga', Iddi Moshi, Victor Costa, Mecky Mexime, Joseph Kaniki, John Bocco, Juma Kaseja, Henry Joseph, Haruna Moshi, Mrisho Ngasa, Madaraka Suleiman, Athumani Iddi Chuji, Nteze John, Shaban Nonda, Leodgar Tenga, Nadir Haroub, Malota Soma, Bakari Malima, Fred Minziro, Salvator Edward, Steven Mapunda, Abdalla Kibaden, Joseph Lazaro Tungaraza, Thomas Kipese, Hussein Masha, Mnenge Suluja, Hamis Gagarino, Athumani Mambosasa, Adolf Rishald, Peter Tino, Jella Mtagwa, Kasongo Athumani, Christopher Alex. Miaka ya 70/80 Rajpar akasema Tanzania kuna King mmoja tu na Lord mmoja: King Kibaden na Lord Rajpa.
Vipi Chuma (Beki Na.3 wa Mtwara) aliyekataa kuhamia Dar kujiunga na Simba au Yanga mpaka alipostaafu mpira? Vipi Kitwana Manara aliyechezea Taifa kama golikipa na kama mshambuliaji Na 9? Vipi Sembuli wa Morogoro aliyekuwa na shuti kali sana kwenye penati au free kick? Vipi Kibaden wa Simba aliyepewa hadhi ya ufalme huko Songea mpaka miaka ya 70/80 kukawepo msemo kwamba Tanzania kuna King mmoja tu na Lord mmoja: King Kibaden na Lord Rajpar (aliyehusiana na scandal ya meli ya Tanzania)?
 
Mkuu una kumbukumbu nzuri. Bila kumsahau Maulid Dilunga.
 
Wafuatao walistahili kuwemo kwenye listi yako ya top 50. Issa Athuman, Godwin Aswile, Athuman China, Abubakar Salum, Twaha Hamidu, Raphael Paul, Alphonce Modest, Yusuph Bana, Ahmed Amasha, Nico Njohole, Mao Mkami, Nico Bambaga, Mtwa Kihwelo, Kitwana Suleiman, Fumo Felician, Mohamed Salim, Juma Amir, Makumbi Juma, Mussa Kihwelo na Method Mogella.
Mkuu hawa magwiji niliwasahau, nimeipandisha pale juu ili tufike kwenye 70 badala ya 50.
 
Kuna fundi alikuwa anaitwa Hamis Thobias "Gagarino"

Kwenye hiyo listi ni aibu kumkosa Charles Boniface Mkwassa

Hussein Masha atakosaje kwenye top 50

Marehemu Gibson Sembuli

Dua Said

Razak Yusuf " Careca"

Nteze John

Malota Soma

Method Mogella "Fundi"
 
Kwa ukongwe wangu sina neno kabisa na list yako hasa baada ya kumuona edibily mnyama na mwamba kizita.
 
Kuna fundi alikuwa anaitwa Hamis Thobias "Gagarino"

Kwenye hiyo listi ni aibu kumkosa Charles Boniface Mkwassa

Hussein Masha atakosaje kwenye top 50

Marehemu Gibson Sembuli

Dua Said

Razak Yusuf " Careca"

Nteze John

Malota Soma

Method Mogella "Fundi"
Mkwasa na Sembuli niliwasahau ila nimewapandisha pale juu.. wengine nimewataja tayari na kuna mdau kawataja nikaipandisha post yake.
 
Sijui umetumia vigezo gani, ila Mrisho ngasa ni zaidi ya msuva....wote tumeonaa ila hao wazee sijui me nimeanza kua na akili ya kufatilia hao watu kuanzia 2005...
Mnawapamba tu wa zamani
 
Kuna Method Mogela, Abeid Mziba, Zimbwe, Issa Athumani, Keneth Mkapa, Thomas Kipese,Salvatory Edward...
 
Back
Top Bottom