M Mbegu Jr Senior Member Joined Sep 23, 2020 Posts 152 Reaction score 178 Aug 9, 2024 #21 Tanzania si tulimuunga mkono Odinga kwenye diplomasia yetu Kikwete huwaga yupo smart sana
Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 8,870 Reaction score 10,066 Aug 9, 2024 #22 Lusungo said: Pole sana...fuatilia kwa makini usiandike kwa hisia mithili ya Simba changa.... Djibouti inachukua kiti. Click to expand... Tutarejea wakati wa matokeo... Mwanamama toka 🇪🇷 nayeye vipi? Amepima kina Cha maji au ameamua kumuunga mkono jirani yake huyo mmanga?
Lusungo said: Pole sana...fuatilia kwa makini usiandike kwa hisia mithili ya Simba changa.... Djibouti inachukua kiti. Click to expand... Tutarejea wakati wa matokeo... Mwanamama toka 🇪🇷 nayeye vipi? Amepima kina Cha maji au ameamua kumuunga mkono jirani yake huyo mmanga?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Aug 9, 2024 #23 Sasa JK ndo ashindane na mawaziri wastaafu? Hapo panamfaa Pinda. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa JK ndo ashindane na mawaziri wastaafu? Hapo panamfaa Pinda. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]