Wafahamu Wagombea wa Uenyekiti Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Kikwete imekuaje tena? Ameliwa kichwa?

Wafahamu Wagombea wa Uenyekiti Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Kikwete imekuaje tena? Ameliwa kichwa?

Tanzania si tulimuunga mkono Odinga kwenye diplomasia yetu
Kikwete huwaga yupo smart sana
 
Pole sana...fuatilia kwa makini usiandike kwa hisia mithili ya Simba changa.... Djibouti inachukua kiti.
Tutarejea wakati wa matokeo...

Mwanamama toka 🇪🇷 nayeye vipi? Amepima kina Cha maji au ameamua kumuunga mkono jirani yake huyo mmanga?
 
Sasa JK ndo ashindane na mawaziri wastaafu? Hapo panamfaa Pinda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom