Wafahamu walinzi wa Papa huko Vatican

Wafahamu walinzi wa Papa huko Vatican

sijui kuna shida gani? kwenye pc inacheza.. ni nyimbo kwenye album mpya ya SABATON inaitwa the last stand.

Usijali. Kama ipo YouTube nitaitazama now. Thanks sana mkuu.[emoji1417]

Update: nimeipata. [emoji1417]
 
Pope Clement escaped through the "secret tunne?" A man of God escaped ? Ooh my Jesus ! Siamini bado natafakari ..... !

Huwezi kuelewa, siku Yesu anakamatwa mitume wote walikimbia na alibakia Petro tena kwa Siri na hata alipoulizwa alikana kabisa kuwa hamjui Yesu, na huyo Petro ndio aliyelisimamia kanisa la kwanza
Sasa itakuwa Papa?

Cc: popbwinyo
 
Back
Top Bottom