Wafahamu wasanii sita(6) bongo wanaomiliki magari ya gharama zaidi kwa sasa

Hapa Mwenye gari ni Jide Peke yake maana magari ya kijapani ni vigari kwani huwa yana majina hata hayaeleweki, Mara Hawa , Nadia, Joti, Harrier, Joyce, Dude, lakini kama ni Range Rover ni jina hilo tu shape tofauti, hata hivyo kuna madreva kama Diamondi CK na Uwoya, madreva wengine wakina Wolper na Wema wenye nayo wameyahitaji, wale mapapaa kiuno. Eheeee!!!
 
Na hzo comments za watu na warumi inaelekea anajua mengi ya hawa celebrates
East Africa yoooooteeee ni jina moja tu naona linaweza kuwfanya mapinduzi na kuwa celebrity wa ukweli...............LUPITA NYONGO.
Hawa wengine sijui wasanii wote wa bongo movies ni ushuzi mtupu
 
Jd...pesa ya jasho....hiyo nampongeza!! Wengine wa mark x sawa ila wabinti hao wawili wa Q7 na benz s!!! Aah! Pesa si rahisi hivyo...

Sent from Samsung Note III using Tapatalk
 
jd na platinum ndo wamiliki wa ukweli kutokana na jasho lao japo thamani ya magari yao inanitia shaka,
hawa wengine am sure kadi za gari hawana.
 
Mark X haizidi milion 15. Dubai hata milion 8 unapata.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 

Cc Lupita Nyong'o
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…