Wafahamu wasanii sita(6) bongo wanaomiliki magari ya gharama zaidi kwa sasa

Wafahamu wasanii sita(6) bongo wanaomiliki magari ya gharama zaidi kwa sasa

East Africa yoooooteeee ni jina moja tu naona linaweza kuwfanya mapinduzi na kuwa celebrity wa ukweli...............LUPITA NYONGO.
Hawa wengine sijui wasanii wote wa bongo movies ni ushuzi mtupu

Me kwanza leo nimepotea njia nimeingia humu bila kutaraji.
 
Samahani hii njia nimepotea,kumbe nimetokezea chumbani!!
 
wasanii wengi waongo tuu,magari wakipewa ya kutafuta majina wanaxema ya kwao,tunataka waweke card hadharani tujue kama yakwao kwl.
 
Mark X ni zaidi ya mil 30 siku hizi? Mmmmmmmhhhhh wamepigwa sana hio bei,Mark X haizidi 16m
»Kwa wote hao Lady Jay Dee ndio mwenye gari wengine kuna ulakini katika umiliki.
 
Siku nyingine twambie wacheza soka wa kibongo wanaomiliki nyumba na magari makali.
 
Mkuu hii inaitwa copy na kupaste, halafu Toyota mark x Gani hyo ni zaidi ya 35m. Hii kitambo niliineshwa ktk blog za gossip. Take care
 
Mkuu hii inaitwa copy na kupaste, halafu Toyota mark x Gani hyo ni zaidi ya 35m. Hii kitambo niliineshwa ktk blog za gossip. Take care

Mkuu naomba nisaidie bei basi manake ningependa kudunduliza ni mie one day niwe mmiliki
 
Ni kweli vx v8 ya diamond c yake yeye anamiliki BMW X6 ambayo c haba wadau wa BMW watakubaliana na mimi.mark x bwana ni gari la kawaida sana
 
Back
Top Bottom