East Africa yoooooteeee ni jina moja tu naona linaweza kuwfanya mapinduzi na kuwa celebrity wa ukweli...............LUPITA NYONGO.
Hawa wengine sijui wasanii wote wa bongo movies ni ushuzi mtupu
Samahani hii njia nimepotea,kumbe nimetokezea chumbani!!
Sasa kwani celebrities si wanatakiwa wakae huko Masaki na Oyster Bay. Celebrity gani atakaa Uswazi?
Mkuu acha utani bana! Usijifanye hujui nchi yako
Mark X ni zaidi ya mil 30 siku hizi? Mmmmmmmhhhhh wamepigwa sana hio bei,Mark X haizidi 16m
»Kwa wote hao Lady Jay Dee ndio mwenye gari wengine kuna ulakini katika umiliki.
Mkuu hii inaitwa copy na kupaste, halafu Toyota mark x Gani hyo ni zaidi ya 35m. Hii kitambo niliineshwa ktk blog za gossip. Take care
Umemsahau ally kiba. Ana gari la gharama hatari
Umemsahau ally kiba. Ana gari la gharama hatari