Wafahamu watoto wa Rais wa Urusi, Vladimir Putin

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Kuna maswali wengi hujiuliza kama watoto wa Putin Rais wa Urusi wapo kwenye social media, inasemekana wanaweza wawepo kwa kutumia majina yasio kuwa yakwao kwa ajili ya usalama na wanaweza wasiwepo kabisa.

Maiaha yao ni ya kipekee kutokana na hali ya kisiasa na kinachoendelea, wote hao wakike hawatumii jina la ubini wa baba yao ili kwa sababu maalum,
mmoja anaitwa Maria Vorontsova anayo Ph.D. degree in medical sciences, yuko involved in advanced medical research as a scientist and co-owner of a private R&D company.

Na bintiye mwingine anaitwa Yekaterina Tikhonova anayo Ph.D. degree in math and physics, anasimamia shirika lisilo la kiserikali inayotoa misaada kwa ajili ya utafiti kwenye maswala ya kitabibu akishirikiana na chuo kikuu cha Moscow.

Hao ndio watoto wa putin wengi tunaweza kuwa hatukuwah kuwasikia au kuwaona kwa picha basi ndio hao


 
Kwahiyo kuna mmoja umetoa mahari? Au we ni mfanyakazi wa ndani wa putin by the way hii copy and paste
 
Watoto wa rais wako tu huwajui ndio uwajue watoto wa puttin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…