Wafahamu watu 10 wa kwanza kutumia mtandao wa Facebook

Bora huyo kuliko yule anayekwambia watu waliofanikiwa ni wale ambao ni school dropouts bila kuangalia mtu ana drop kutoka chuo cha aina gani.

Mtu ana drop chuo kama cha Kenford pale Tanga halafu anajifananisha na school dropout wa Havard.
School dropout is a school dropout regardless of shule/chuo anachotoka..

Ushauri ni kwamba usidrop bila kujua au kuwa na uhakika na nini unaenda kufanya. Wenzetu wanadrop wakiwa wanajua nini wako nacho na wanaenda kukipresent lakini sie tunadrop tu kwa kushindwa masomo. Na hiyo ndiyo tofauti, tofauti sio aina ya chuo..

Kuna kaka yangu alifaulu vizuri sana back then na kupata post ya kusoma Bcom UDSM, alidecide asiendelee na kusoma sababu alichokisoma kidogo alikipractice na akaona hakuna haja ya kuongeza vyeti na kupoteza muda tena. Sasahivi ni tajiri na ameajiri mpaka classmates wake waliokwenda mpaka chuo..

Hoja ni kujitambua tu..
 
Nitajie havard drop out ambaye ni fala.

Mimi nawajua college drop outs wa vyuo vya mchangani ambao ni ma faler.

Unabidi uelewe Havard sio Udsm.
Mkuu wapo dropouts wa hapo Havard ambao ni mafala lakini kutokana na ufala wao ndio maana huwajui..

Au kwa akili yako unafikiri dropout wa Havard ni Bill Gates na Mark pekee?
 
My point ilikuwa drop outs wa Havard wengi ni ma intelligent sio sawa na sisi tunao drop out huku bongo kwa akili za kuunga unga na super glue.
 
Amna Joseverest wala Gentamycine au GuDume??hauwezi kuwa serious
 
huyo jamaa mack ni genius..nakumbuka tulisoma nae havard miaka hyo alkua noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…