Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Wapo mfano ChengeHivi kuna Mtanznia aliyesoma aua bado anasoma Havard??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo mfano ChengeHivi kuna Mtanznia aliyesoma aua bado anasoma Havard??
SawaWapo mfano Chenge
wapon wengi sanaHivi kuna Mtanznia aliyesoma aua bado anasoma Havard??
School dropout is a school dropout regardless of shule/chuo anachotoka..Bora huyo kuliko yule anayekwambia watu waliofanikiwa ni wale ambao ni school dropouts bila kuangalia mtu ana drop kutoka chuo cha aina gani.
Mtu ana drop chuo kama cha Kenford pale Tanga halafu anajifananisha na school dropout wa Havard.
Mkuu wapo dropouts wa hapo Havard ambao ni mafala lakini kutokana na ufala wao ndio maana huwajui..Nitajie havard drop out ambaye ni fala.
Mimi nawajua college drop outs wa vyuo vya mchangani ambao ni ma faler.
Unabidi uelewe Havard sio Udsm.
Change the great.Hivi kuna Mtanznia aliyesoma aua bado anasoma Havard??
Ka msearch fesibuku myajengeHuyo namba 9 nimemwelewa
My point ilikuwa drop outs wa Havard wengi ni ma intelligent sio sawa na sisi tunao drop out huku bongo kwa akili za kuunga unga na super glue.School dropout is a school dropout regardless of shule/chuo anachotoka..
Ushauri ni kwamba usidrop bila kujua au kuwa na uhakika na nini unaenda kufanya. Wenzetu wanadrop wakiwa wanajua nini wako nacho na wanaenda kukipresent lakini sie tunadrop tu kwa kushindwa masomo. Na hiyo ndiyo tofauti, tofauti sio aina ya chuo..
Kuna kaka yangu alifaulu vizuri sana back then na kupata post ya kusoma Bcom UDSM, alidecide asiendelee na kusoma sababu alichokisoma kidogo alikipractice na akaona hakuna haja ya kuongeza vyeti na kupoteza muda tena. Sasahivi ni tajiri na ameajiri mpaka classmates wake waliokwenda mpaka chuo..
Hoja ni kujitambua tu..
Wengi tu, chenge kasomaHivi kuna Mtanznia aliyesoma aua bado anasoma Havard??