Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,579
Steven Wasira hakuwa Mbunge wa Bunge linalomaliza muda wakeHabari haijaa uongo bali ina mapungufu machache sana kama hao wawili tu na kukosekana jina la Steven wasira mle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Steven Wasira hakuwa Mbunge wa Bunge linalomaliza muda wakeHabari haijaa uongo bali ina mapungufu machache sana kama hao wawili tu na kukosekana jina la Steven wasira mle
😂😂😂Hapana yeye alitangaza kustaafu mapema sana. Akina Chenge na Ngeleja waliamua kusubiri AIBU.
Mwakyembe na Bashite Bora wasipewe kitu chochote kabisa wazinguwaji sana Hawa jamaaMwakyembe Bashite masele na wenzao wachache watapewa ubunge wa bure na mtukufu
Watanzania wanataka katiba mpya izuie wabunge wa kuteuliwa na Rais kuwa mawaziri kwani Rais hutumia vibaya vile viti 10 kuwateua washikaji zake kisha kuwazawadia uwaziri kienyeji sanaHicho kitu ndiyo bado kinaniuma sana naomba maana ataanza kutusumbuwa sana na kutukomoa Tena maana Ile bichwa inapenda misifa sana,, Naomba Raisi ampotezee mazima🤔🤔🤔
Bashite anatafutiwa cheo kwa udi na uvumba hata mpambe wake Le mutuz katoa siri kuwa wanakesha makanisani na kwa waganga wa kienyeji masaa mengi ili Bashite apate cheo na wao wanufaike kupitia mgongo wake kama kawaida yao.M
Mwakyembe na Bashite Bora wasipewe kitu chochote kabisa wazinguwaji sana Hawa jamaa
WABUNGE takribani 75 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao walijitosa kutetea nafasi zao katika uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba mwaka huu, wameangukia pua.
Mkutano wa Halmashauri Kuu ya taifa (NEC), uliopitisha majina ya wagombea hao, umefanyika leo Alhamisi, tarehe 20 Agosti 2020 chini ya mwenyekiti wake, Dk. John Magufuli.
Kati ya wabunge hao, yumo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe; Naibu Waziri wa Kilimo, Omar Mgumba na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Mary Mwanjelwa.
Taarifa zinasema, katika orodha ya wabunge 264 -kwa maana ya majimbo 214 (Bara) na 50 ya Zanzibar – wamo wabunge wakongwe na maarufu, “waliokatwa.”
Mathalani, aliyepata kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, waziri wa miundombinu na mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge, pamoja na kwamba alishinda kura za maoni katika jimbo lake la Bariadi Mashariki, lakini hakuteuliwa.
Wengine, ni mbunge wa miaka mingi na waziri wa zamani wa nishati na madini, William Ngeleja (Sengerema); aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini, Peter Serukamba na aliyekuwa mbunge wa Busega, Raphael Chegeni.
Katika orodha hiyo, kuna wabunge wa viti maalum walioshindwa kura za maoni kwenye majimbo, akiwamo Angella Kairuki (Same Mashariki); Vick Kamata, aliyekuwa anataka kuligomboa jimbo la Kibamba na Halima Bulembo.
Wengine walioshindwa kupenya, ni Charles Tizeba (Buchosa), Balozi Adad Rajab (Muheza), Balozi Diodorus Kamala (Nkenge),Stephen Masele (Shinyanga Mjini), Julius Kalanga (Monduli), Maulid Mtulia (Kinondoni), Lolesia Bukwimba (Busanda), Juma Nkamia (Chemba), Chacha Ryoba (Serengeti) na Albert Obama (Buhigwe).
Wengine, ni Daniel Nsanzugwanko (Kasulu Mjini), Mbaraka Bawazir (Kilosa), Goodluck Mlinga (Ulanga), Suleiman Ahmed Saddiq (Mvomero), Abadallah Mtolea (Temeke), Haroon Pirmohamed (Mbarali), Rafael Gashaza (Ngara), Prof. Jumanne Maghembe (Mwanga), Hassan Masala (Nachingwea), Jitu Soni (Babati Vijijini) na Isaay Paulo (Mbulu Mjini).
Wamo pia, James Ole Millya (Simanjiro), Emmanuel Papian (Kiteto), Omar Badwel (Bahi), Issa Mangungu (Mbagala), Augustino Masele (Mbogwe), Venance Mwamoto (Kilolo), Godfrey Mgimwa (Kalenga), Mahmoud Mgimwa (Mufundi Kaskazini), Edwin Sannda (Kondoa Mjini) na Charles Kitwanga (Misungwi).
Wengine, ni Oscar Mukasa (Biharamulo Magharibi), Dk. Pundenciana Kikwembe (Kavuu), Richard Mbogo (Nsimbo), Christopher Chiza (Buyungu), Peter Serukamba (Kigoma Kaskazini), Prof. Noman Sigalla (Makete), Kangi Lugola (Mwibara), Deogratias Ngalawa (Ludewa), Hassan Kaunje (Lindi Mjini) na William Dau (Nanyumbu).
Wengine, ni Dk. Mary Nangu (Hanang), Hasna Mwilima (Kigoma Kusini), George Lubeleje (Mpwapwa), Joel Mwaka (Chinolwa) sasa Chamwino; Jerome Bwanausu (Lulindi), Rashid Chuachua (Masasi), Saul Amon (Rungwe), Peter Lijualikali (Kilombero), Nimrod Mkono (Butiama) na Victor Mwambalaswa (Lupa).
Katika orodha hiyo, wapo pia Dk. Shukuru Kawambwa (Bagamoyo), Dk. Haji Mponda (Malinyi), Omary Kigoda (Handeni Mjini), Mary Chatanda (Korogwe Mjini), Mboni Mhita (Handeni Vijijini), Edward Mwalongo (Njombe Mjini), Joram Hongoli (Lupembe), Greyson Lwenge (Wanging’ombe), Dk. Dalaly Kafumu (Igunga), Mussa Ntimizi (Igalula) na Ezekiel Maige (Msalala).
Wengine, ni Allan Kiula (Iramba Mashariki), Justin Monko (Singida Kaskazini), Janet Mbene (Ileje), John Kadutu (Ulyankulu) na Prof. Anna Tibaijuka (Muleba Kusini) , Salum Khamis (Meatu) na Daniel Mtuka (Manyoni Mashariki), Salum Khamis (Meatu) na Daniel Mtuka (Manyoni Mashariki).
Kupatikana kwa taarifa kuwa robo ya wabunge wa CCM wameenguliwa na chama chao; na au wamelazimishwa na wajumbe kustaafu, kunatokana na hatua ya NEC ya chama hicho, kuwapigia mstari mwekundu.
Lijuakali kaenda kuoa kwa Ndungai akajiona mjanja kumbe kaoa nuksi tupu sasa Ndungai mbona hamsaidii mkwe wake?
Atateuliwa kuwa DASLijuakali kaenda kuoa kwa Ndungai akajiona mjanja kumbe kaoa nuksi tupu sasa Ndungai mbona hamsaidii mkwe wake?
Wengine hapo hawakutia nia.WABUNGE takribani 75 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao walijitosa kutetea nafasi zao katika uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba mwaka huu, wameangukia pua.
Mkutano wa Halmashauri Kuu ya taifa (NEC), uliopitisha majina ya wagombea hao, umefanyika leo Alhamisi, tarehe 20 Agosti 2020 chini ya mwenyekiti wake, Dk. John Magufuli.
Kati ya wabunge hao, yumo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe; Naibu Waziri wa Kilimo, Omar Mgumba na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Mary Mwanjelwa.
Taarifa zinasema, katika orodha ya wabunge 264 -kwa maana ya majimbo 214 (Bara) na 50 ya Zanzibar – wamo wabunge wakongwe na maarufu, “waliokatwa.”
Mathalani, aliyepata kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, waziri wa miundombinu na mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge, pamoja na kwamba alishinda kura za maoni katika jimbo lake la Bariadi Mashariki, lakini hakuteuliwa.
Wengine, ni mbunge wa miaka mingi na waziri wa zamani wa nishati na madini, William Ngeleja (Sengerema); aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini, Peter Serukamba na aliyekuwa mbunge wa Busega, Raphael Chegeni.
Katika orodha hiyo, kuna wabunge wa viti maalum walioshindwa kura za maoni kwenye majimbo, akiwamo Angella Kairuki (Same Mashariki); Vick Kamata, aliyekuwa anataka kuligomboa jimbo la Kibamba na Halima Bulembo.
Wengine walioshindwa kupenya, ni Charles Tizeba (Buchosa), Balozi Adad Rajab (Muheza), Balozi Diodorus Kamala (Nkenge),Stephen Masele (Shinyanga Mjini), Julius Kalanga (Monduli), Maulid Mtulia (Kinondoni), Lolesia Bukwimba (Busanda), Juma Nkamia (Chemba), Chacha Ryoba (Serengeti) na Albert Obama (Buhigwe).
Wengine, ni Daniel Nsanzugwanko (Kasulu Mjini), Mbaraka Bawazir (Kilosa), Goodluck Mlinga (Ulanga), Suleiman Ahmed Saddiq (Mvomero), Abadallah Mtolea (Temeke), Haroon Pirmohamed (Mbarali), Rafael Gashaza (Ngara), Prof. Jumanne Maghembe (Mwanga), Hassan Masala (Nachingwea), Jitu Soni (Babati Vijijini) na Isaay Paulo (Mbulu Mjini).
Wamo pia, James Ole Millya (Simanjiro), Emmanuel Papian (Kiteto), Omar Badwel (Bahi), Issa Mangungu (Mbagala), Augustino Masele (Mbogwe), Venance Mwamoto (Kilolo), Godfrey Mgimwa (Kalenga), Mahmoud Mgimwa (Mufundi Kaskazini), Edwin Sannda (Kondoa Mjini) na Charles Kitwanga (Misungwi).
Wengine, ni Oscar Mukasa (Biharamulo Magharibi), Dk. Pundenciana Kikwembe (Kavuu), Richard Mbogo (Nsimbo), Christopher Chiza (Buyungu), Peter Serukamba (Kigoma Kaskazini), Prof. Noman Sigalla (Makete), Kangi Lugola (Mwibara), Deogratias Ngalawa (Ludewa), Hassan Kaunje (Lindi Mjini) na William Dau (Nanyumbu).
Wengine, ni Dk. Mary Nangu (Hanang), Hasna Mwilima (Kigoma Kusini), George Lubeleje (Mpwapwa), Joel Mwaka (Chinolwa) sasa Chamwino; Jerome Bwanausu (Lulindi), Rashid Chuachua (Masasi), Saul Amon (Rungwe), Peter Lijualikali (Kilombero), Nimrod Mkono (Butiama) na Victor Mwambalaswa (Lupa).
Katika orodha hiyo, wapo pia Dk. Shukuru Kawambwa (Bagamoyo), Dk. Haji Mponda (Malinyi), Omary Kigoda (Handeni Mjini), Mary Chatanda (Korogwe Mjini), Mboni Mhita (Handeni Vijijini), Edward Mwalongo (Njombe Mjini), Joram Hongoli (Lupembe), Greyson Lwenge (Wanging’ombe), Dk. Dalaly Kafumu (Igunga), Mussa Ntimizi (Igalula) na Ezekiel Maige (Msalala).
Wengine, ni Allan Kiula (Iramba Mashariki), Justin Monko (Singida Kaskazini), Janet Mbene (Ileje), John Kadutu (Ulyankulu) na Prof. Anna Tibaijuka (Muleba Kusini) , Salum Khamis (Meatu) na Daniel Mtuka (Manyoni Mashariki), Salum Khamis (Meatu) na Daniel Mtuka (Manyoni Mashariki).
Kupatikana kwa taarifa kuwa robo ya wabunge wa CCM wameenguliwa na chama chao; na au wamelazimishwa na wajumbe kustaafu, kunatokana na hatua ya NEC ya chama hicho, kuwapigia mstari mwekundu.
Mtukufu atawazawadia vyeo wale CCM wote walioongoza kura za maoni na wale wakiokuwa wa pili tatu nne, CCM ni ile ile mambo ni yaleyaleAtateuliwa kuwa DAS
Ataanza teuzi kabla ya 28 OctMtukufu atawazawadia vyeo wale CCM wote walioongoza kura za maoni na wale wakiokuwa wa pili tatu nne, CCM ni ile ile mambo ni yaleyale
Pale kwa kumkata mpigania mambo Mkaa100 wamenifurahisa sana.WABUNGE takribani 75 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao walijitosa kutetea nafasi zao katika uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba mwaka huu, wameangukia pua.
Mkutano wa Halmashauri Kuu ya taifa (NEC), uliopitisha majina ya wagombea hao, umefanyika leo Alhamisi, tarehe 20 Agosti 2020 chini ya mwenyekiti wake, Dk. John Magufuli.
Kati ya wabunge hao, yumo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe; Naibu Waziri wa Kilimo, Omar Mgumba na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Mary Mwanjelwa.
Taarifa zinasema, katika orodha ya wabunge 264 -kwa maana ya majimbo 214 (Bara) na 50 ya Zanzibar – wamo wabunge wakongwe na maarufu, “waliokatwa.”
Mathalani, aliyepata kuwa mwanasheria mkuu wa serikali, waziri wa miundombinu na mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge, pamoja na kwamba alishinda kura za maoni katika jimbo lake la Bariadi Mashariki, lakini hakuteuliwa.
Wengine, ni mbunge wa miaka mingi na waziri wa zamani wa nishati na madini, William Ngeleja (Sengerema); aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini, Peter Serukamba na aliyekuwa mbunge wa Busega, Raphael Chegeni.
Katika orodha hiyo, kuna wabunge wa viti maalum walioshindwa kura za maoni kwenye majimbo, akiwamo Angella Kairuki (Same Mashariki); Vick Kamata, aliyekuwa anataka kuligomboa jimbo la Kibamba na Halima Bulembo.
Wengine walioshindwa kupenya, ni Charles Tizeba (Buchosa), Balozi Adad Rajab (Muheza), Balozi Diodorus Kamala (Nkenge),Stephen Masele (Shinyanga Mjini), Julius Kalanga (Monduli), Maulid Mtulia (Kinondoni), Lolesia Bukwimba (Busanda), Juma Nkamia (Chemba), Chacha Ryoba (Serengeti) na Albert Obama (Buhigwe).
Wengine, ni Daniel Nsanzugwanko (Kasulu Mjini), Mbaraka Bawazir (Kilosa), Goodluck Mlinga (Ulanga), Suleiman Ahmed Saddiq (Mvomero), Abadallah Mtolea (Temeke), Haroon Pirmohamed (Mbarali), Rafael Gashaza (Ngara), Prof. Jumanne Maghembe (Mwanga), Hassan Masala (Nachingwea), Jitu Soni (Babati Vijijini) na Isaay Paulo (Mbulu Mjini).
Wamo pia, James Ole Millya (Simanjiro), Emmanuel Papian (Kiteto), Omar Badwel (Bahi), Issa Mangungu (Mbagala), Augustino Masele (Mbogwe), Venance Mwamoto (Kilolo), Godfrey Mgimwa (Kalenga), Mahmoud Mgimwa (Mufundi Kaskazini), Edwin Sannda (Kondoa Mjini) na Charles Kitwanga (Misungwi).
Wengine, ni Oscar Mukasa (Biharamulo Magharibi), Dk. Pundenciana Kikwembe (Kavuu), Richard Mbogo (Nsimbo), Christopher Chiza (Buyungu), Peter Serukamba (Kigoma Kaskazini), Prof. Noman Sigalla (Makete), Kangi Lugola (Mwibara), Deogratias Ngalawa (Ludewa), Hassan Kaunje (Lindi Mjini) na William Dau (Nanyumbu).
Wengine, ni Dk. Mary Nangu (Hanang), Hasna Mwilima (Kigoma Kusini), George Lubeleje (Mpwapwa), Joel Mwaka (Chinolwa) sasa Chamwino; Jerome Bwanausu (Lulindi), Rashid Chuachua (Masasi), Saul Amon (Rungwe), Peter Lijualikali (Kilombero), Nimrod Mkono (Butiama) na Victor Mwambalaswa (Lupa).
Katika orodha hiyo, wapo pia Dk. Shukuru Kawambwa (Bagamoyo), Dk. Haji Mponda (Malinyi), Omary Kigoda (Handeni Mjini), Mary Chatanda (Korogwe Mjini), Mboni Mhita (Handeni Vijijini), Edward Mwalongo (Njombe Mjini), Joram Hongoli (Lupembe), Greyson Lwenge (Wanging’ombe), Dk. Dalaly Kafumu (Igunga), Mussa Ntimizi (Igalula) na Ezekiel Maige (Msalala).
Wengine, ni Allan Kiula (Iramba Mashariki), Justin Monko (Singida Kaskazini), Janet Mbene (Ileje), John Kadutu (Ulyankulu) na Prof. Anna Tibaijuka (Muleba Kusini) , Salum Khamis (Meatu) na Daniel Mtuka (Manyoni Mashariki), Salum Khamis (Meatu) na Daniel Mtuka (Manyoni Mashariki).
Kupatikana kwa taarifa kuwa robo ya wabunge wa CCM wameenguliwa na chama chao; na au wamelazimishwa na wajumbe kustaafu, kunatokana na hatua ya NEC ya chama hicho, kuwapigia mstari mwekundu.
Kuna binadamu wanaishi maisha ya stress ni pamoja na huyu binadamu, kakatwa ubunge, kakatwa udiwani na huko mahakamani wanamtaka aiisee na mke wake naye anataka taraka 🤣🤣🤣🤣 huyu naye mkuu amzawadie tuu ubunge
Atapewa ubunge wa kuteuliwaAtateuliwa kuwa DAS
SawaAtapewa ubunge wa kuteuliwa
Juma Nkamia CCM wenzake wamefurahia kupigwa chini kwani huwa wanamuona kama mbunge kihere here mjuaji mno mpaka kapitiliza, CCM nao hawawapendi washambenga mipashoHahahaha hahaaaa kelele zote za Juma Nkamia za kujipendekeza zimegonga mwàmba