Wafalme hutoka katika familia maskini

Wafalme hutoka katika familia maskini

Ingelikuwa Daimond Mkenya au katokea kenya basi SIFA na Taadhima kubwa ingetawala dunia...
ila nasikitika waTZ wa bongo ni watu tusiependa mwenzetu
afanikiwe (sii D/P ila yyote tu) !!

Huyu jamaa kajituma sana kufikia hapo alipo...Hongera !!

MK254
hebu njo utusaidia kuwaPromot
wandugu (majirani zako)!!
Frankestain Pongezi kwako
tatizo hatumtangazi tunampambanisha na
unapopambanisha lazima yawepo makundi mawili.sasa hapo lile kundi la pili huonekana hawampendi,wakati kiukweli wapo sahihi maana ni mpambano.kumbe
tungemtangaza tu badala ya kumpambanisha na yeyote.
We ukitaka kuamini uliza hivi samatta na chuji nani zaidi uone kazi.lakini kwa sasa wote tunamfurahia samata
Sababu tumeamua kumtangaza na sio kumpambanisha.ni hayo kwanza
 
Mkuu, ukitaka ona USHEN'I wetu subiri sikua atakaerudi na kutua pale JNIeapoti....... hapo utaona maAfisa wa "" "" ""
 
Tatizo lililopo ni kwamba watu hata hawajui ni kitu gani chenye kushindanisha Ali k na diamond. Kina kitu ambacho lazima ukubali kuwa Diamond kamzidi Kiba,lakini pia kuna kitu ambacho lazima ukubali kuwa Kiba kamzidi Diamond.
Lakini kinyume na hivyo ndio maana watu wanatokwa mapovu tu kila siku.

Wanafanana kitu kimoja, WOTE WAZINZI..wanatofautiana kitu kimoja..DIOMOND ANAUTANGAZA SANA UZINZI WAKE kuliko mwenzake..hana aibu hata kidogo!!....
 
Huyu Jamaa ni Another Brain, Another Voice aiseee.
 
Back
Top Bottom