bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Enzi zile wimbo wa malaika ulipata umaarufu sana duniani baada ya kuimbwa na Miriam Makeba na Harry Belafonte, na wimbo wa jambo bwana ulikuwa maarufu kutoka Kenya ambayo ndiyo ilikuwa nchi maarufu kwa Afrika ya Mashariki.Bon M walikua wanajua sana mkuu yaani walikua njema na wabunifu hatari nazikubali sana ngoma zao hua najiuliza walipata wapi ile idea ya kuimba nyimbo za kiswahili ?