Wafanya biashara na wamiliki wa makampuni mnahitaji mtu kama Mimi

Wafanya biashara na wamiliki wa makampuni mnahitaji mtu kama Mimi

Big dady 11

Senior Member
Joined
May 21, 2023
Posts
109
Reaction score
128
Wakuu mko poa.

Nmekuja kutafta fursa acha niende kwenye point..
Na ujuzi wa videographer, photographer graphics designerna content creater.

Na uzoefu wa Zaid ya miaka 5.
Aina za Kazi nilizowahi kufanya ni;
*Kushoot na kuedit video na upigaji picha kwenye events(harusi,send off, kitchen party, etc)

*Kushoot na kuedit music videos.

*Kutengeneza logo na posters.

*Kushoot na kuedit movies.

*Kutengeneza mahudhui(content) mbalimbali za kibiashara na za kisanaa(filamu)

*Uendeshaji wa social media ( YouTube channel)

Km Kuna taasisi, kampuni au ofisi ya video production inahitaji mtu wa ujuzi huu basi nicheki tufanye kazi

Program nnazotumia ni
Adobe premiere
Adobe Photoshop
Adobe aftereffect
Adobe illustrator
Adobe audition
Adobe Lightroom
Power point

Kwa mawasiliano zaid 0692477610.
Nikutumie Kaz nilizo fanya.

Pia km unahitaji kufungua biashara ya photo and video studio karibu tunaweza kufanya Kaz Nina uzoefu sana upande huo..

Pia ata ukiwa na duka, kampuni, taasisi mnahitaji mtu wa video na picha au wa graphics designer kwa part time au full time job pia nicheki tunaweza kufanya Kaz.

📷Ujue sisi ni watu wa behind the scenes hivyo sio wazuri kwenye kujielezea.😁

Nicheki kwa maswali au ushauri wowote uhusianao na Mambo ya video and photo production kama ;
*Uandaaji wa matangazo ya video.
*Uandaaji wa matangazo ya picha ( posters)
*Uandaaji wa documents (makala)
*Uandaaji wa filamu.
*Uandaaji wa music videos.
*Uandaaji wa photoshoot.
Na jambo lolote linalosusiana na tasnia ya video production nichek nitakujibu chochote na kukushauri/kushauriana.

0692477610 watsapp
 
Back
Top Bottom