Wafanya biashara na wamiliki wa makampuni mnahitaji mtu kama Mimi

Una business plan tuwekeze? Au bado unataka kuajiriwa?
 
Habari!
Nahitaji tuongee.

Nina photo and video studio. Nina miezi michache tangu nimeanza.
Location: Mbeya.

Pia nina online radio na niko mbioni kuanzisha online live tv ambayo nitaiweka kwenye ving'amuzi mbalimbali kama azam, zuku na vingine. Hivyo itarusha live (on time) kama tu vituo vingine vya runinga.

Nakaribisha wawekezaji kwa hili wazo la tv. Technology pays out.
Asante.
Radio:
Hero Radio - Kuwa Shujaa!
 

Attachments

  • 20250107_203045.jpg
    298.1 KB · Views: 4
  • IMG_4482.JPG
    526.3 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…