Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
wanajipanga na kukusudia kuhamishia mitaji yao nchi jirani Africa Mashariki zenye amani ikiwa ni pamoja na Tanzania, kukwepa uharibifu wa uwekezaji woa huko kenya ambao baadhi yao kwa kiasi tayari wameathirika, kutokana na kukosekana usalama wa kutosha...
Je,
hii ni fursa muafaka ya kiuchumi na ya kipekee sana kwa Tanzania kutanua wigo na kuboresha mazingira yake ya kibiashara na uwekezaji kua bora na mazuri zaidi, ili wawekezaji na wafanya biashara hao wakija, wasiondoke na mitaji yao tena hali ya usalama itakaporejea huko walikotoka?
lakini pia hii ni fursa ya ajira kwa vijana Tanzania?
wafanyabiashara siasa waTanzania waliodai wanahamia Zambia kwa sababu zao binafsi, pia nafasi zao zitakua zimejazwa na hao wa kutoka kenya na kuidhoofisha na kuitokomeza kabisa migomo ya wafanyabiashara siasa katika maeneo mbalimbali nchini..
una maoni au mtazamo gani katika hili?