Wafanya biashara pelekeni mchele Bukoba unalipa

Wafanya biashara pelekeni mchele Bukoba unalipa

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
4,335
Reaction score
9,286
Kule mchele kama dhahabu,

Na ukifanikiwa kuingia Uganda huko soko ndio lipo juu sana kilo moja ni kama elfu 7 ya kibongo

Nasema haya kwasababu napita hizo njia kila mwezi
 
Wewe umepeleka Junia ngapi? Kuna mother anasema mwaka jana alivuna Junia 98 ila mwaka huu kavuna Junia 18 tu na akasema huu mwaka sio mzuri kwake ardhi imetapakaa damu za October 29
 
Duh! kama wese...

Lakini lazima kuchunguza sababu ya kuwa bei juu hivyo, zaidi ya Tshs 1000 kulinganisha na mikoa mingine...

Unaweza pambana kufikisha hiyo bidhaa huko, ukajikuta nawe unauza bei juu, biashara ikadoda...
Hizo Bei ni Ile top. Ila wastani ata wa 2500 upo.
 
Assumption niliyonayo, naona kama Bukoba au Kagera yote sio watu wa wali...

Sasa kama demand sio kubwa, biashara si itakuwa ishu...
Uko sahihi. Wali unaliwa siku na siku, mfano sikukuu au tukio Fulani.
Kwahiyo Mchele unaoenda kule ni grade za juu, ndio maana Bei ivo.
Ila ipo ya Bei ya chini. Kuna kipindi maduka ya Mchele ni machache na duka utakaloenda unakuta wana Mchele aina moja tu (sio kama maduka ya mikoa mingine unakuta Kuna Bei kuanzia 2000 hadi 4000.
 
Back
Top Bottom