Ismoo
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,101
- 1,573
Wakuu leo nimekuja tena kwenu, kupata maujuzi. Natumai mko poa na tunaendelea kuisoma namba, mafuta bei juu...! Nchi ina zizima kwa kilio cha wengi.[emoji24]
Wa kubwa bila kuwapotezea muda wenu naomba kuwauliza kwa yeyote anaye fahamu ni utaratibu gani unao tumika kwa wale wafanya biashara/wakulima wenye mizigo mikubwa kutoka mikoani wanao leta kwenye majiji kama Dar es salaam.
Mfano mtu ana ndizi mikungu mfano 300/400 au mchele tani 5 nakueledea... wakisha fikisha kwenye masoko mfano kama hapa Dar es salaam Mabibo,Mwananyamala, Tandika, na Tandale.
Huwa wanawezaje kuuza? ikumbukwe wanakuwa hawana frem wala vibanda masokoni, ninachotaka kujua wana wezaje kusukuma mizigo yao kwa haraka wa malize na kufuata mizigo mingine?
Natanguliza shukrani za dhati kwa yeyote atakaye nisaidia kunifumbulia hili fumbo.[emoji120]